Hicho kitakuwa namba 2ya kile kilichoua wale pale kimaraWakuu, kwa mara ya kwaza leo Nimekunywa kinywaji cha baridi Azma energy, Kwakweli Nimependa radha yake na nimeinjoy.... Cha ajabu baada ya kama Dk 20 hiv hari yangu imebadirika miguu haina nguvu hari kadhalika moyo hauko poa nahic kero mpaka hpo sijaelewa nifanye nn? Ushauri plz
kula like mkuu maelezo yako mazuri sanaMkuu kama una matatizo ya moyo au shinikizo la damu hulusiwi kabisa kutumia vinywaji vyenye caffein nyng kama energy drink..
Umekosa nguvu kwasababu hiyo caffein imeshusha blood pressure kwenye mwili wako na reaction yake ndo unakuta unaishiwa nguvu na kujisikia mchovu sana..
So dont dont try that again
Wakuu, kwa mara ya kwaza leo Nimekunywa kinywaji cha baridi Azma energy, Kwakweli Nimependa radha yake na nimeinjoy.... Cha ajabu baada ya kama Dk 20 hiv hari yangu imebadirika miguu haina nguvu hari kadhalika moyo hauko poa nahic kero mpaka hpo sijaelewa nifanye nn? Ushauri plz