ween
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 414
- 129
Wakuu, kwa mara ya kwaza leo Nimekunywa kinywaji cha baridi Azma energy, Kwakweli Nimependa radha yake na nimeinjoy.... Cha ajabu baada ya kama Dk 20 hiv hari yangu imebadirika miguu haina nguvu hari kadhalika moyo hauko poa nahic kero mpaka hpo sijaelewa nifanye nn? Ushauri plz