Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Yanga wanapumulia mashine uongozi inatakiwa upigwe chini, uongozi umeishiwa mawazo ama pumzi (running out of ideas), wanahema kama chura, wanalala usingizi wa pono kumbe hawajui kwamba ligi ya Tanzania ubora wake ni namba 4 Africa š
Big mouth with poor results
Bora hata Mandoga akinena anatenda
Big mouth with poor results
Bora hata Mandoga akinena anatenda