Hiki kipigo kilikuwa mwana ukome

Yanga wanapumulia mashine uongozi inatakiwa upigwe chini, uongozi umeishiwa mawazo ama pumzi (running out of ideas), wanahema kama chura, wanalala usingizi wa pono kumbe hawajui kwamba ligi ya Tanzania ubora wake ni namba 4 Africa 🌍

Big mouth with poor results

Bora hata Mandoga akinena anatenda
 
100% true
 
JamiiForums jihadharinina hizi habari za uzishi. Mwaka 1941 hakukuwa na timu inaitwa Simba, hii taarifa ni ya uwongo na uzishi per se
Umeniwahi mzee wangu kwani wakati tuansherehekea miaka kumi ya uhuru mwaka 1971 hakukuwa na timu inaitwa Simba. Timu kuwab za Dar wakati ule zilikuwa ni Yanga, Sunderland, na Cosmo (Cosmopolitans)
 
Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu, Unawahi Taa Za Barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…