mtunzasiri JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 1,449 Reaction score 993 May 25, 2013 #1 KIPIMO CHA KUJIAMINI: "Jamba kwa nguvu mbele za wakwe na uoneshe tabasamu".
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 15,415 Reaction score 29,584 May 26, 2013 #2 Kipimo cha kujiamini si katika kiwango cha kiasi gani unaweza kijidhalilisha mbele ya watu wengine.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,554 May 27, 2013 #4 Kujamba ni afya kama kucheua, inaitwa Colon Cleansing.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,475 Reaction score 21,046 May 27, 2013 #5 Lol that's turning bad thing to good ones always passing flatters is annoying Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Lol that's turning bad thing to good ones always passing flatters is annoying Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 31, 2013 #6 mtunzasiri said: KIPIMO CHA KUJIAMINI: "Jamba kwa nguvu mbele za wakwe na uoneshe tabasamu". Click to expand... Wewe umefanya hivyo mara ngapi?
mtunzasiri said: KIPIMO CHA KUJIAMINI: "Jamba kwa nguvu mbele za wakwe na uoneshe tabasamu". Click to expand... Wewe umefanya hivyo mara ngapi?
alexmahone JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 482 Reaction score 408 Jun 1, 2013 #7 Hapana siungi mkono hoja