Hiki kipindi cha Sports Arena kinaboa

Unachoongea hakina mantiki.Hata skysport,supersport na BT sport kuna muda wanachart na watazamaji wakati mwingine wanachart live kupitia skype.Sasa kama wewe hutaki wadau wanaokusikiliza wachangie sidhani kama ni sawa.Halafu hazichukui dk nyingi sana.Kwa hiyo kama hutaki Arena kuna Sports HQ kule kila baada ya dk 5 ya uchambuzi kuna dk 10 za matangazo ya wadhamini dk 20 za singeli na muziki.Chagua wewe mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujaelewa nadhan!...nmesema simu ziwepo ila mwishon mwa kipindi ...
siyo mtangazaji kaongea dakika 2 mara tumsikilize mdau...inaboa yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kama bado hujajibu swali nakuuliza mara ya mwisho unajua kwanini wanaruhusu watu kupiga simu?
 
Naona kama bado hujajibu swali nakuuliza mara ya mwisho unajua kwanini wanaruhusu watu kupiga simu?
elewa kwanza...mimi sijakataa wasipokee simu.

Objective kubwa ya kusikiliza calls na kusoma SMS za watazamaji ni ku review attention & uelewa wa mada na uchambuzi wa mtangazaji...sasa hujachambua kitu walau 30 unapokea simu ya msikilizaji ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakuwa uelewi au Kama uelewi utakuwa umetumwa na media nyingine baada ya kuona sport arena inatishia amani vipindi vingine vya michezo.Utaratibu wa sport arena upo hiv wanaweka mada mezani wanajadiliana kwanza wachambuzi ndipo wanaruhusu wasikilizaji kupiga simu so wanaruhusu tu baada ya mada kuisha kuchambuliwa na wachambuzi.
 
wewe ndiyo hujanielewa...fuatilia hicho kipindi angalau siku kadhaa then uje u relate nlichoandika....kipindi kinaboa...na nshaacha kukisikiliza labda wabadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
piga chini mkuu. mimi ziliniboa bongo fleva nikaacha kusikiliza huu mwaka wa 7 huwezi kunikuta eti nineweka hizo nyimbo kwa simu au PC nasikiliza.
 
wewe ndiyo hujanielewa...fuatilia hicho kipindi angalau siku kadhaa then uje u relate nlichoandika....kipindi kinaboa...na nshaacha kukisikiliza labda wabadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona inakuboa kasikilize vipindi vingine vya michezo kwani ulizalimishwa kuwasikiliza kuliko kulalamika kwa hoja dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…