netein
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 281
- 480
sport Arena inaboa sana hasa mida ya jion, watu tunaosikiliza radio za home online tunapata tabu sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
navyoona hawatutendei haki wasikilizaji...to be a good sport representer...u must have ability to gather & absorb huge amounts of information & details & be able to convey it to your listeners.
Wasikilizaji wa michezo tunapenda analytical info zaidi...sio mnaongeo dakika 2 then tumsikilize mdau & blaa blaa nonesense!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo unatema ugoro mwanzo mwisho hicho hakiitwi arena ni sport court by the way siku hizi habari za michezo zimepungua due to corona so kwenye hivyo vipindi ni story tuwewe ndo bangi...kama ungesikiliza sport arena jana jion usingekuja kutema ugoro hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndo bangi...kama ungesikiliza sport arena jana jion usingekuja kutema ugoro hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ni wametumwa na redio zingine hawa!Kitu kikiboa unaacha kusikiliza mfano mm sisikilizi sport extra ya clouds hata bure
Kitu kama kinakukera unaacha kukifatilia ukiendelea ww ni mmbeya na mnafki
hujaelewa nadhan!...nmesema simu ziwepo ila mwishon mwa kipindi ...Unachoongea hakina mantiki.Hata skysport,supersport na BT sport kuna muda wanachart na watazamaji wakati mwingine wanachart live kupitia skype.Sasa kama wewe hutaki wadau wanaokusikiliza wachangie sidhani kama ni sawa.Halafu hazichukui dk nyingi sana.Kwa hiyo kama hutaki Arena kuna Sports HQ kule kila baada ya dk 5 ya uchambuzi kuna dk 10 za matangazo ya wadhamini dk 20 za singeli na muziki.Chagua wewe mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamelewa pesa za diamond, hakuna tena professionalism, ubunifu zero, acha wale pesa za bureKitenge na Edo nawakubali..ila kwenye hiki kipindi naona kama hawanitendei haki yan...kama wameflop hivi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamelewa pesa za diamond, hakuna tena professionalism, ubunifu zero, acha wale pesa za bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mda wote watangazaji na wachambuzi kazi ni kupokea simu na kusoma SMS tu na si kuchambua na kudadavua mambo ya soka kiundani kama tulivyotarajia wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
michezo imesimamishwa ila mada za kuongea na kuchambua michezo haziishagi....kama ni hivyo vipindi vyote vya michezo dunian vingesitishwa...waache uvivu, watafute info..
Naona kama bado hujajibu swali nakuuliza mara ya mwisho unajua kwanini wanaruhusu watu kupiga simu?navyoona hawatutendei haki wasikilizaji...to be a good sport representer...u must have ability to gather & absorb huge amounts of information & details & be able to convey it to your listeners.
Wasikilizaji wa michezo tunapenda analytical info zaidi...sio mnaongeo dakika 2 then tumsikilize mdau & blaa blaa nonesense!
Sent using Jamii Forums mobile app
elewa kwanza...mimi sijakataa wasipokee simu.Naona kama bado hujajibu swali nakuuliza mara ya mwisho unajua kwanini wanaruhusu watu kupiga simu?
Wewe utakuwa uelewi au Kama uelewi utakuwa umetumwa na media nyingine baada ya kuona sport arena inatishia amani vipindi vingine vya michezo.Utaratibu wa sport arena upo hiv wanaweka mada mezani wanajadiliana kwanza wachambuzi ndipo wanaruhusu wasikilizaji kupiga simu so wanaruhusu tu baada ya mada kuisha kuchambuliwa na wachambuzi.elewa kwanza...mimi sijakataa wasipokee simu.
Objective kubwa ya kusikiliza calls na kusoma SMS za watazamaji ni ku review attention & uelewa wa mada na uchambuzi wa mtangazaji...sasa hujachambua kitu walau 30 unapokea simu ya msikilizaji ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndiyo hujanielewa...fuatilia hicho kipindi angalau siku kadhaa then uje u relate nlichoandika....kipindi kinaboa...na nshaacha kukisikiliza labda wabadilikeWewe utakuwa uelewi au Kama uelewi utakuwa umetumwa na media nyingine baada ya kuona sport arena inatishia amani vipindi vingine vya michezo.Utaratibu wa sport arena upo hiv wanaweka mada mezani wanajadiliana kwanza wachambuzi ndipo wanaruhusu wasikilizaji kupiga simu so wanaruhusu tu baada ya mada kuisha kuchambuliwa na wachambuzi.
Kama unaona inakuboa kasikilize vipindi vingine vya michezo kwani ulizalimishwa kuwasikiliza kuliko kulalamika kwa hoja dhaifu.wewe ndiyo hujanielewa...fuatilia hicho kipindi angalau siku kadhaa then uje u relate nlichoandika....kipindi kinaboa...na nshaacha kukisikiliza labda wabadilike
Sent using Jamii Forums mobile app