Hiki kipindi cha Sports Arena kinaboa

Ushauri wa bure acha kusikiliza tafuta redio nyingine maana hakuna jambo baya kama kuongea bila kuwa na sababu
Ukipinga jambo bila kuwa na sababu ni sawa na kukubali na kukubali jambo bila ya kuwa na sababu ni sawa na kupinga sasa ww hunasababu halafu unaponda
 
hili la wapi...hujaona sababu hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili la wapi...hujaona sababu hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, kautafiti kangu kamefanikiwa. Mnasikiliza radio yetu vyema. Ruksa kutoa povu, nachukua maoni yenu tukayafanyie kazi na timu yang u kiofisi zaidi.
 
piga chini mkuu. mimi ziliniboa bongo fleva nikaacha kusikiliza huu mwaka wa 7 huwezi kunikuta eti nineweka hizo nyimbo kwa simu au PC nasikiliza.
Labda useme haujaweka kwenye simu au PC,lakini kuepuka kuskia mziki wa bongo fleva kwa sasa hivi ni ngumu,baa karibia zote bongo fleva inagongwa,harus karibia zote,bodaboda,redioni,kwenye Mabasi,kariakoo ndo fujo mtindo mmoja unless uniambie ukiskia unaziba maskio
 
sasa mkuu nitaepukaje nikiwa bar,bus.kifupi ni kwamba sina interest. simu na PC zimejaa nyimbo ila hakuna bongo fleva na sasa kwa sababu sina interest.
 
So unajiona mwambaa kusema husklzi nymbo za bongo fleva......

Ushamba mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
we ndo mshamba unayetaka nifanye kitu nisicho na interest. sijasema kama unayesikiliza bongo fleva hana akili,kila mtu na interest/hobby zake..ndo maana kuna watu mpira ni kama chakula kwao lakini wengine hata hawajui Messi ni kitu gani zaidi ya kumsikia kwa LAZIMA kupitia media.

Umeanza kusikiliza bongo fleva ukubwani wewe bila shaka. Kukusaidia ni kwamba huwa sina interest na vitu vyepesi,mimi nikisikiliza Bongo fleva na watu kama wewe mtasikiliza nini
haaaa haaaa
 
Diamond kakurupuka anafikir kila kazi ni majina Kama maulid wa kitenge simuelew kabisa anasoma magazet kwa kufoka diamond anatakiwa atafute wabunifu wakubwa wamsaidie Sio watangazaji wakubwa ukitaka ujue wasaf Sio wabunifu angalia kipindi Cha tv e kile kipya bonge wa kipindi kile alikua alikiba juzi alafu Lily omy kaenda kupotea sababu Kuna baadh ya interview atazikosa na mashabik

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond kakurupukaje?
 
sasa mkuu nitaepukaje nikiwa bar,bus.kifupi ni kwamba sina interest. simu na PC zimejaa nyimbo ila hakuna bongo fleva na sasa kwa sababu sina interest.
sasa sema sina nyimbo za bongo fleva na sina interest nazo ila naziskia usiseme "sisikilizi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…