ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
saa tatu asubuhi mpaka sita kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saa tatu asubuhi mpaka sita kamili
Ushauri wa bure acha kusikiliza tafuta redio nyingine maana hakuna jambo baya kama kuongea bila kuwa na sababuelewa kwanza...mimi sijakataa wasipokee simu.
Objective kubwa ya kusikiliza calls na kusoma SMS za watazamaji ni ku review attention & uelewa wa mada na uchambuzi wa mtangazaji...sasa hujachambua kitu walau 30 unapokea simu ya msikilizaji ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
piga chini mkuu. mimi ziliniboa bongo fleva nikaacha kusikiliza huu mwaka wa 7 huwezi kunikuta eti nineweka hizo nyimbo kwa simu au PC nasikiliza.
Ushauri wa bure acha kusikiliza tafuta redio nyingine maana hakuna jambo baya kama kuongea bila kuwa na sababu
Ukipinga jambo bila kuwa na sababu ni sawa na kukubali na kukubali jambo bila ya kuwa na sababu ni sawa na kupinga sasa ww hunasababu halafu unaponda
hili la wapi...hujaona sababu hapo juuUshauri wa bure acha kusikiliza tafuta redio nyingine maana hakuna jambo baya kama kuongea bila kuwa na sababu
Ukipinga jambo bila kuwa na sababu ni sawa na kukubali na kukubali jambo bila ya kuwa na sababu ni sawa na kupinga sasa ww hunasababu halafu unaponda
Vipi na Mzee wa kudele?
kazi kubana pua na kulamba lips tu ...sijui anakwama wapi[emoji38][emoji38]
Matangazo yao meeengi wanakuambia kipindi masaa matatu wakati ni sa 1 tu .nimeachana naoSikiliza sport headquarter ya E FM
Labda useme haujaweka kwenye simu au PC,lakini kuepuka kuskia mziki wa bongo fleva kwa sasa hivi ni ngumu,baa karibia zote bongo fleva inagongwa,harus karibia zote,bodaboda,redioni,kwenye Mabasi,kariakoo ndo fujo mtindo mmoja unless uniambie ukiskia unaziba maskiopiga chini mkuu. mimi ziliniboa bongo fleva nikaacha kusikiliza huu mwaka wa 7 huwezi kunikuta eti nineweka hizo nyimbo kwa simu au PC nasikiliza.
sasa mkuu nitaepukaje nikiwa bar,bus.kifupi ni kwamba sina interest. simu na PC zimejaa nyimbo ila hakuna bongo fleva na sasa kwa sababu sina interest.Labda useme haujaweka kwenye simu au PC,lakini kuepuka kuskia mziki wa bongo fleva kwa sasa hivi ni ngumu,baa karibia zote bongo fleva inagongwa,harus karibia zote,bodaboda,redioni,kwenye Mabasi,kariakoo ndo fujo mtindo mmoja unless uniambie ukiskia unaziba maskio
So unajiona mwambaa kusema husklzi nymbo za bongo fleva......sasa mkuu nitaepukaje nikiwa bar,bus.kifupi ni kwamba sina interest. simu na PC zimejaa nyimbo ila hakuna bongo fleva na sasa kwa sababu sina interest.
we ndo mshamba unayetaka nifanye kitu nisicho na interest. sijasema kama unayesikiliza bongo fleva hana akili,kila mtu na interest/hobby zake..ndo maana kuna watu mpira ni kama chakula kwao lakini wengine hata hawajui Messi ni kitu gani zaidi ya kumsikia kwa LAZIMA kupitia media.So unajiona mwambaa kusema husklzi nymbo za bongo fleva......
Ushamba mzigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond kakurupukaje?Diamond kakurupuka anafikir kila kazi ni majina Kama maulid wa kitenge simuelew kabisa anasoma magazet kwa kufoka diamond anatakiwa atafute wabunifu wakubwa wamsaidie Sio watangazaji wakubwa ukitaka ujue wasaf Sio wabunifu angalia kipindi Cha tv e kile kipya bonge wa kipindi kile alikua alikiba juzi alafu Lily omy kaenda kupotea sababu Kuna baadh ya interview atazikosa na mashabik
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa sema sina nyimbo za bongo fleva na sina interest nazo ila naziskia usiseme "sisikilizi"sasa mkuu nitaepukaje nikiwa bar,bus.kifupi ni kwamba sina interest. simu na PC zimejaa nyimbo ila hakuna bongo fleva na sasa kwa sababu sina interest.