Hiki kipindi cha Sports Arena kinaboa

Hiki kipindi cha Sports Arena kinaboa

Kitu kikiboa unaacha kusikiliza mfano mm sisikilizi sport extra ya clouds hata bure
Kitu kama kinakukera unaacha kukifatilia ukiendelea ww ni mmbeya na mnafki
Nliacha ila nmeongea public ili warekebishe weakness zao.

Mda wote masimu ya nini. Waweke dakika 15 za mwishoni kwa ajili ya simu, siyo mtangazajia anaongea dakika 2 tu. Tumsikilize mdau, disgusting.

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
nliacha...ila nmeongea public ili warekebishe weakness zao...

mda wote masimu ya nini...waweke dakika 15 za mwishoni kwa ajili ya simu, siyo mtangazajia anaongea dakika 2 tu...tumsikilize mdau, disgusting..

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Wanafanya jambo zuri kuwaruhusu watu kupiga simu unajua wanafanya hivyo kwanini?
 
Mikusanyiko ya michezo haijapigwa marufuku kwa sababu ya Coronavirus tu?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Yani mda wote watangazaji na wachambuzi kazi ni kupokea simu na kusoma SMS tu na si kuchambua na kudadavua mambo ya soka kiundani kama tulivyotarajia wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bangi wew hicho kipindi kina phase iyo ya kupokea simu ni baada ya uchambuzi unaokua katika phase tatu kivumbi 1,2 na 3 then simu wanapokea
 
Wanafanya jambo zuri kuwaruhusu watu kupiga simu unajua wanafanya hivyo kwanini?
navyoona hawatutendei haki wasikilizaji...to be a good sport representer...u must have ability to gather & absorb huge amounts of information & details & be able to convey it to your listeners.

Wasikilizaji wa michezo tunapenda analytical info zaidi...sio mnaongeo dakika 2 then tumsikilize mdau & blaa blaa nonesense!

sikiliza redio nyingine, kipindi masaa matatu, simu hua ni kati ya 2 mpaka 5 kutoka kwa wasikilizaj , hata dakika 10 combined hawamalizi ...sikiliza redio nyingine achana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom