Hiki kipindi cha wasafi cha Gospel ni balaa. Ni zaidi ya Ibada

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
9,045
Reaction score
28,216
Leo ni mara ya nne nakisiliza kipindi hiki kinachoongozwa na Liliana Mwasha na Masanja Mkandamizaji. Nimeikubali sana Chemistry yao na namna wanavyoendesha kipindi chao.Hakika ni mapinduzi makubwa mno, abarikiwe sana alieifikiria Chemistry ya hawa host.

Leo walikuwa na wageni waalikwa Christina Shusho na mchungaji Gwajima aka Gwajiboy. Yote kwa yote Christina Shusho ambaye sasa ni mama mchungaji nahisi akikaza ataenda kurithi na kuliziba pengo la mama yetu Rwakatare.

Asante sana wapendwa karibuni mbarikiwe pia.
 
Kikubwa ni kuliombea taifa, kutiana moyo katika kipindi hiki kigumu cha corona

Pia ibada kamili imefanyika leo
 
Sema kina rushwa lini na wakati gani ili na wengine wapate Neema hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…