Hiki kipindi cha wasafi cha Gospel ni balaa. Ni zaidi ya Ibada

Hiki kipindi cha wasafi cha Gospel ni balaa. Ni zaidi ya Ibada

UPDATES WAKUU

Kipindi kinaanza saa 2 asubuhi hadi saa 5 kamili asubuhi kila jumapili WASAFI FM
 
Leo ni mara ya nne nakisiliza kipindi hiki kinachoongozwa na Liliana Mwasha na Masanja Mkandamizaji. Nimeikubali sana Chemistry yao na namna wanavyoendesha kipindi chao.Hakika ni mapinduzi makubwa mno, abarikiwe sana alieifikiria Chemistry ya hawa host.

Leo walikuwa na wageni waalikwa Christina Shusho na mchungaji Gwajima aka Gwajiboy. Yote kwa yote Christina Shusho ambaye sasa ni mama mchungaji nahisi akikaza ataenda kurithi na kuliziba pengo la mama yetu Rwakatare.

Asante sana wapendwa karibuni mbarikiwe pia.
NI ZAIDI YA IBADA!! Duh, basi sawa
 
Back
Top Bottom