Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI ZAIDI YA IBADA!! Duh, basi sawaLeo ni mara ya nne nakisiliza kipindi hiki kinachoongozwa na Liliana Mwasha na Masanja Mkandamizaji. Nimeikubali sana Chemistry yao na namna wanavyoendesha kipindi chao.Hakika ni mapinduzi makubwa mno, abarikiwe sana alieifikiria Chemistry ya hawa host.
Leo walikuwa na wageni waalikwa Christina Shusho na mchungaji Gwajima aka Gwajiboy. Yote kwa yote Christina Shusho ambaye sasa ni mama mchungaji nahisi akikaza ataenda kurithi na kuliziba pengo la mama yetu Rwakatare.
Asante sana wapendwa karibuni mbarikiwe pia.
Sitii nenoKipindi kizuri ila kimekaa kisiasa siasa saana kimekaa kuunga mkono juhud tu...mara jiwe aombewe mara huyo lilian aanze kunena kwa lugha basi tafrani kuigiziana tuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuona mma Deborah hapoOhoo