Kwqnini unauliza hivi? Siri ya mtungi aijuae kata.YULE DADA WANAWEZANA KWEL?
SAFARI KUELEKEA MAFANIKO NI NDEFUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MKUU NA UNAPITIA NJIA MBALI MBALI, HUWA NAJIULIZA MAJIZZO ALIPATA WAPI MPUNGA WA KUFUNGUA RADIO FASTA??!Masanja alisema atafungua redio yake, daah sasa Kaangukia kuwa mtangazaji huko usafini
Yule alikua anauza dona! Hujui hiloSAFARI KUELEKEA MAFANIKO NI NDEFUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MKUU NA UNAPITIA NJIA MBALI MBALI, HUWA NAJIULIZA MAJIZZO ALIPATA WAPI MPUNGA WA KUFUNGUA RADIO FASTA??!
Halafu alimuacha mke wa ndoa,akaenda kufunga ndoa nyingine na Lilian.Alikuaga bwana wangu huyo, kabla sijaolewa!
HAHAHAHAA KWELI WAACHE HIZO MAMBO ZITAWAHARIBIAKipindi kizuri ila kimekaa kisiasa siasa saana kimekaa kuunga mkono juhud tu...mara jiwe aombewe mara huyo lilian aanze kunena kwa lugha basi tafrani kuigiziana tuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuu....Habari mpya hii kwanguHalafu alimuacha mke wa ndoa,akaenda kufunga ndoa nyingine na Lilian.
Waoneni tu watu wanajidai walokole. Wanatafuta fursa tu.Luvanda alimpata Lilian kwenye kwenye mambo ya u MC wao. Akakolea. Akamwacha mke wa ndoa tena na watoto.duuuuu....Habari mpya hii kwangu
Ohooduuuuu....Habari mpya hii kwangu
OhooMmmmh humu ndani kuna mengi
Acha tuHAHAHAHAA KWELI WAACHE HIZO MAMBO ZITAWAHARIBIA
Kila lakheri..!Ngoja na mimi nifuate mahindi mbeya nisage niuze DONA