Hiki kipindi kimetisha sana

hahaha kama ni kweli hii basi nzuri sana kwa wale wasiojiamini, wanajitakia wenyewe mapresha hayo.

nimewahi kutumiwa audio moja ya hicho kipindi...aisee nilicheka sana, wanaume ss Mungu anatuona [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimecheka sana jana,nikawaza mengi.
 
Ukae tu mpaka siku uone picha za harusi mtandaoni
Kipi bora kuchunguza mapema ujue hatima yako au ukae tu mpaka siku uone picha za harusi mtandaoni baada ya namba za simu kuwa blocked au kubadilishwa?
 
Nimepata shida kuelewa mtoa mada ni maabara nasio mahabara, ila nimeipenda maana inatoa majibu yenye ukweli 100% sasa sijui wamepewa dawa gani?
 
Nimepata shida kuelewa mtoa mada ni maabara nasio mahabara, ila nimeipenda maana inatoa majibu yenye ukweli 100% sasa sijui wamepewa dawa gani?
Kumbe ni maabara,basi nitakuwa nilikuwa nawaza mahaba wakati naandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…