Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
nijibu nn kwako?Naomba ujibu kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nijibu nn kwako?Naomba ujibu kwangu
Mimi nimecheka sana jana,nikawaza mengi.hahaha kama ni kweli hii basi nzuri sana kwa wale wasiojiamini, wanajitakia wenyewe mapresha hayo.
nimewahi kutumiwa audio moja ya hicho kipindi...aisee nilicheka sana, wanaume ss Mungu anatuona [emoji23][emoji23][emoji23]
wanaume hatujaribiwi...unless tuwe ndani ya ndoa tayari.Mimi nimecheka sana jana,nikawaza mengi.
Nimecheka sanaa[emoji23][emoji23]akome tuu kwakweliAkome vero kumchunguza mwanaume na kumuacha haujajiandaa
AiseeeeNimecheka sanaa[emoji23][emoji23]akome tuu kwakweli
Maswali ya mahusiano yakooonijibu nn kwako?
Hi Cole[emoji4]Aiseeee
Hi mbona unamcheka vero lakiniHi Cole[emoji4]
Mwanaume hafuatiliwi kiasi hicho,.Hi mbona unamcheka vero lakini
Kwanini tusifuatiliwe .Mwanaume hafuatiliwi kiasi hicho,.
Isiwe too much,.Kwanini tusifuatiliwe .
niulize ss...Maswali ya mahusiano yakooo
Nimecheka sanaa[emoji23][emoji23]akome tuu kwakweli
Kipi bora kuchunguza mapema ujue hatima yako au ukae tu mpaka siku uone picha za harusi mtandaoni baada ya namba za simu kuwa blocked au kubadilishwa?
Wewe unanifaa.Ukae tu mpaka siku uone picha za harusi mtandaoni
Wewe unanifaa.