Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa sio fairSio vizuri lakini,huku ni kuharibiana michongo,bora haifiki Mbeya.
Wanaume hatupend ujingaAtakuwa amefurahi na roho yake sasa.Huko alipo amelia mpaka vya kulia vimeisha anatoa macho tu.
Kipi bora kuchunguza mapema ujue hatima yako au ukae tu mpaka siku uone picha za harusi mtandaoni baada ya namba za simu kuwa blocked au kubadilishwa?Akome vero kumchunguza mwanaume na kumuacha haujajiandaa
hahaha kama ni kweli hii basi nzuri sana kwa wale wasiojiamini, wanajitakia wenyewe mapresha hayo.Habari zenu wandugu,
Wakati nasubiri chai leo home nikasema nisikilize radio,nikaweka Choice FM,basi nikasikia kuna session inaitwa mahabara ya mapenzi,yaani unawatumia message kwenye kipindi kuwa unataka kupimiwa mapenzi yako nao wanakupigia simu wanakuuliza maswali.
Ilikuwa kama hivi;
Mtangazaji:hello?
Mpimiwa mapenzi:hello
Mtangazaji:Naongea na VERO?
Mpimiwa mapenzi:Ndiyo
Mtangazaji:Umetuma message kuomba maabara ya mapenzi ikupimie mapenzi yako si ndiyo.
Mpimiwa mapenzi:Ndiyo
Mtangazaji:Mpenzi wako anaitwa nani?
Mpimiwa:Anaitwa Mika.
Mtangazaji:Anaishi wapi Mika.
Mpimiwa:Anaishi Tegeta.
Mtangazaji:Anafanya kazi gani?
Mpimiwa:anafanya kazi TANESCO.
Mtangazaji:Mahusiano yenu yana muda gani.
Mpimiwa :Yana kama miezi MITATU hivi au MINNE.
Mtangazaji:Mna mtoto na bwana Mika?
Mpimiwa:Hapana.
Mtangazaji:Kwanini unataka kupimiwa mapenzi,humuamini mpenzi wako au unadhani kuwa hakupendi,au ana mtu mwingne?
Mpimiwa:Hapana nataka kujua ananipenda kiasi gani.
Mtangazaji:Sawa subiri kidogo usikikie majibu kutoka kwa Mika.
Basi bwana Mika wa Tegeta kapigiwa simu (nadhani mpenzi mpimiwaji alitoa namba ya Mika kwa Mtangazaji back stage) Mambo yakawa hivi.
Mtangazaji:Halooo naongea na Mika?
Mika:Ndiyo.
Mtangazaji:Napiga simu kutoka kampuni ya blaaa blaaa blaaa,nimepewa namba na mtu anayedai mna mahusiano naye,amenambia umewahi fanya kazi shirika la umeme ni kweli?
Mika:Ndiyo ndiyo.
Mtangazaji:Kwa sasa unafanya kazi wapi.
Mika:aaaaah kwa sasa nafanya kazi hizo hizo ila nafanya mtaani zaidi,baada ya muda wangu kuisha TANESCO.
Mtangazaji:Ok basi kampuni yetu inatafuta mtu wa kufanya kazi za umeme,sijui upo tayari.
Mika (huku akitabasamu):Ndiyo nipo tayari.
Mtangazaji😱k una familia,yaani mke,mchumba au mtoto?
Mika:nina MCHUMBA na MTOTO.
Mtangazaji:una muda gani na mchumba wako?
Mika:Kama MIAKA MITATU hivi.
Mtangazaji: anaitwa nani mchumba wako.
Mika:anaitwa PENDO.
Mtangazaji:Sawa ngoja niongee na wenzangu halafu nitakupigia ili nikupe taarifa zaidi.
Mika: sawa nashukuru.
Mtangazaji wa kiume Mbeaa:basi dadaangu Vero naamini umemsikia Mika kwa maskio yako mwenyewe.......
Nadhani Vero atakua alizimia,akasindikizwa na kibao kinaitwa I'm cheating on you.
JAMANI HUU NI UUNGWANA KWELI?
YAANI TUMEANZA KUUMBUANA MCHANA KWEUPE?
NDUGU WATANGAZAJI,HATA KAMA NI UBUNIFU WA VIPINDI,MTAKUJA KUTUUA KWA UBANIFU WENU SIKU MOJA.
Sasa mnadhani Mika atajibu nini Kwa VERO na PENDO leo?
wanaume hatujaribiwiHahahahahaha aiseeee nimeipendaaa
Nataman wakujaribu wewewanaume hatujaribiwi
sijui watafanyaje ili kuweza kunifanya nijibu swali la mahusiano yangu....sio rahisi japo najiamini.Nataman wakujaribu wewe
Thubutuuu nakwambiasijui watafanyaje ili kuweza kunifanya nijibu swali la mahusiano yangu....sio rahisi japo najiamini.
ndio sasa, siwezi kujibu mambo yangu ya pasono kwa mtu simfahamu....never.Thubutuuu nakwambia
Naomba ujibu kwangundio sasa, siwezi kujibu mambo yangu ya pasono kwa mtu simfahamu....never.