Hiki kipindi kimetisha sana

Hiki kipindi kimetisha sana

Ha ha ha ha ila vero kayataka mwenyewe, Hakujua hata kama Mika anamchumba mwenye mtoto juu

Hivi mchumba mwenye mtoto bado ni mchumba tu au anakiwa 'mama mtoto' nahisi kuna upitoshaji wa maana halisi ya MCHUMBA [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Pole VERO
 
Inapendeza sana...

Ni sawa na kipindi kimoja kipo DSTV kinaitwa 'Cheaters'...

Kama unawasi wasi na mpenzi wako unawambia na kuwapa details then wao wanaanza kumfuatilia na kukupa taarifa na mienendo yake yote na hatimae hukupeleka ukamfumanie...


Cc: mahondaw
 
Kuchamba kaingia mwishowe hushikamavi,imeandikwa Wala mdichunguzane
Nalog off
 
Sawa furaha yangu nataka nibebe mimba nizae katoto kazuri sanaaaa asubuhi kama hii kawe kamelala kifuani kwanguuuuuu

Nilikuwa kwenye diet ya kupunguza kilo hatimaye zimetimia so mwili upo tayar kubeba ujauzito ndo maana najisikia rahaaaaaaaaaaaaaaa

na wewe unataka kubeba mimba kama mimi
hiyo mimba mm ya nn Demiss....wewe beba tu, umlete ankoli baadae nimuone
 
Sio huwa wanajipanga wao tu wanasema hivyo,,pia hiyo inawezekana kwa mwanaume mwenye wanawake wengi kuna mwingine alitaja mademu kama wanne hajui hata wa kwenda nae waliambiwa wataenda hotel kula raha na mpenzi aliemtaja mwingime kabisaaa
 
Back
Top Bottom