Hiki kisa cha huyu mwanaume aliyetembea na shemeji yake kimenifunza.

Adi mauki kaingilia kati usifanye mchezo na physiological tougher ila wanaume mkomage na nyie mjifunze kukaa mbali na shemeji zenu mtaja kufa mdomo wazi kisa k japo mwanamke ndo alie muwekea mazingira ya kumtafuna
Dada, uanaume uusikie tu hivyo hivyo.

Ile kitu ikitamalaki hamna mshipa mwingine wa fahamu unaofanya kazi mpaka umalize na sio ipoe. Katika wanaume 100 unaweza pata mmoja tu ambae hajatafuna dem wa mtu, tena naye huyo ni suala la muda tu. Ukirudi mwezi ujao utakuta nae tayali.
 
kuna misemo inabidi uitafsiri kwa kina...... kikulacho ki nguoni mwako..... mbuzi kula kadri ya urefu wa kamba.... mtumikia altareni hula altareni.... na mwisho kabisani kuwa mbwa na sungura hawafungwi nyumba moja iko siku mbwa atamla tu sungura......ukaribu huleta hisia.
 
huyu sasa ndio kidume mwenyewe...sio wapuuzi wanaenda kodi watu eti wamfumue marinda mwanaume mwenzio kisa upuuzi wa mkeo. huyu ndio kidume wakuigwa. kwanza nani alikudanganya dunia hii papuchi ya mkeo utagegeda peke yako bwana. bora uwe realistic maishana lah sivyo utakufa bure
 
Najiuliza kama b anahaha hivi je mke anayelala naye na kuishi naye kila sku. eti B anasema siku ya mechi ya simba A alienda chek mechi kwake alikuwa anatamani kufa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyo wakome, mke kakimbia kama nimesikia hivyo leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adi mauki kaingilia kati usifanye mchezo na physiological tougher ila wanaume mkomage na nyie mjifunze kukaa mbali na shemeji zenu mtaja kufa mdomo wazi kisa k japo mwanamke ndo alie muwekea mazingira ya kumtafuna
Huyo b anamakosa pia kama aliona kuna dalili kwanini asimkwepe mke wa rafiki yake ndiyo akomage hana msimamo na huyo mchumba wake sizani kama atakuwa na imani naye ajiandaye ndugu zake kuliwa na huyo B mwanaume jinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mwanzo wa kubaka vitoto vya watu mpaka watoto wao wakuzaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwamba jamaa ana moyo!...huyo jamaa ni katili na huyo ni adhabu Kali zaidi ya unayofikiria
 
.
Hili ni time ticking time bomb... Anytime linalipuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujasiri wa A auboreshe amkabidhi B mke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…