Khaaa! Toka lini lawyer akauza bange? Angalia isijekuwa unamfananisha honey klorokwini na fidel bana.taarifa za kiintelijensia zinasema muda mfupi uliopita kloro kaingizwa central amekamatwa na furushi la bangi! Kalaghabao na ubozi wako!
acheni uchakachuzi!
No, no, no. Amesema ni kwa afya ya mama na mtoto, amesisitiza pia niwe nakuchekea wewe tu kwa mujibu wa daktari nikifanya hivyo kloro jr atakuwa na akili kama zako.Dr gani uyo? anaeshauri kucheka na kusmaili? hehehe isje ikawa dr yuko mawindoni anataka kumbemenda kajunior
Karibu... unitumie na feedback basi, nijue pakurekebisha. lolHaya ngoja nizame huko nikaburudishe macho yangu.
Karibu... unitumie na feedback basi, nijue pakurekebisha. lol
Nakusalim pia Sweet (o so sweet) Lady. hahahaha
Tunaendelea kusubiri, huku tukichakachua na Nyani Ngabu, Klorokwini a.k.a. Deskmate, Sweetlady na Bishanga.natoka kidogo ntakueleza step by step nini kilianza kabla sijapoteza kumbukumbu kwa raha
Sema Astaghfirulah mara tatu kwanza. lolWeeh mwali! Ww ndo wifi yake Marytina? Manake alianza hivi hivu kabla hajam'baka Marytina!
Hahaha! Mpaka arudi atakuta tuko page ya 500Tunaendelea kusubiri, huku tukichakachua na Nyani Ngabu, Klorokwini a.k.a. Deskmate, Sweetlady na Bishanga.
No, no, no. Amesema ni kwa afya ya mama na mtoto, amesisitiza pia niwe nakuchekea wewe tu kwa mujibu wa daktari nikifanya hivyo kloro jr atakuwa na akili kama zako.
Bora umeona mke mwenza manake utanilinda.Weeh mwali! Ww ndo wifi yake Marytina? Manake alianza hivi hivu kabla hajam'baka Marytina!
Lol, cheka tu Eiyer manake na haya mafuriko hatujui siku wala saa..Duh!Hii imenifanya nicheke sana!!
Ndio nataka nimwambie ila kaingia in ze trizInaonekana hiyo ni tabia yako haikuwa bahati mbaya,
Mie ukiniita honey, darling au sweetie sishituki, ila ole wako nikufume unamwita deskmate hayo majina! Ntakuua walah tena..Sema Astaghfirulah mara tatu kwanza. lol
Mi nimesema so sweet sio kwa taste ila kwa vitendo. Hivi nikikwita darling au honey itakua ni kimapenzi? lol
@arusha, mama mchagga,baba mngoni.
my boyfriend /Ole MANIANIA yupo safarini (ubelgiji) na awali aliniambia atakuja likizo baada miezi mitatu baadae akanjulisha hawezi kuja Tz kutokana na ukata may be baada ya miezi sita
imepita miezi mitano mdogo wake wa KIKE (baba mmoja mama tofauti) ni rafiki yangu wa siku nyingi karudi likizo.Ikawa tumetoka wote ilikuwa mwezi wa kumi jumamosi kuhudhuria harusi flani, tulichelewa kurudi home ikabidi alale kwangu.
Tukaoga fasta akachukua manukato anayotumia kaka yake akajipulizia kuingia kitandani kutafuta usingizi akaniuliza KWA NAMNA GANI NAVYOMMISS KAKA YAKE, akaniambia anatamani kuwa Ole MANIANIA, mara akaniwekea mkono kwenye ziwa na kuanza kuli........NIKAPANDWA HASIRA ila akanisihi ni try to imitate she is ole MANIANIA, hilo lilikuwa kosa kubwa manake as nilipobeep to imitate nikajikuta nimemvutia mdomoni denda denda,nyonyana ulimi, mpaka tukatimiza vifungu vyote
My take:Hiki kisa nimekuvumila ila ni bora nikiseme ili kinitoke kichwani kwani kinanitesa
note:Mdogo wake wa kike na sii wa kiume
Sijui nikieleze nini kizazi hiki, katubu tu ndugu yangu, uuingie mwaka vizuri! Umetembea na shemejiyo? Lohh!
Sema Astaghfirulah mara tatu kwanza. lol
Mi nimesema so sweet sio kwa taste ila kwa vitendo. Hivi nikikwita darling au honey itakua ni kimapenzi? lol
Bora umeona mke mwenza manake utanilinda.
Nimekumisije?
sio shemeji yangu ni wifi yangu
mwenzangu, uliitaja kwa msisitizo nikahisi ucameroon umeanza! mi nna wivu hadi na wake wenza bibie, u gave me goose bumps (u dont make me blush like NN does you,lol)