Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Na wewe ulisoma boarding?
Ndio NN Boarding ya mchanganyiko ambako mabweni ya wasichana kulikuwa na kina dada,wifi, mama, shangazi na Bibi ilhali kina kaka,shemeji, baba, mjomba na Babu walikuwa kwenye mabweni ya wavulana
 
Ndio NN Boarding ya mchanganyiko ambako mabweni ya wasichana kulikuwa na kina dada,wifi, mama, shangazi na Bibi ilhali kina kaka,shemeji, baba, mjomba na Babu walikuwa kwenye mabweni ya wavulana

Oh kumbe. Ulifurahia maisha ya huko?
 
[QUOTE=Nyani Ngabu;3009813]BlackBerry...I want to wish you a very berry Christmas and a happy New Year to you and yours!

Simple look but tough in wallet![/QUOTE]
hahaha

thanks nyani, na wewe pia nakutakia sikukuu njema,bday yangu ilikuwa jana hata sijapata pongezi zako
 
hahaha
thanks nyani, na wewe pia nakutakia sikukuu njema,bday yangu ilikuwa jana hata sijapata pongezi zako

Ngoja nikuimbie kibongo bongo...

Hapi bathdei tu yuuu
Hapi bathdei tu yuuu

Happy bathdei dia BB
Happy bathdei tu yuu.

How old are you now?
How old are you now?

From good friends and true,
From old friends and new,
May good luck go with you,
And happiness too.
 
Khaaa! Toka lini lawyer akauza bange? Angalia isijekuwa unamfananisha honey klorokwini na fidel bana.

utakoma leo,nshamPM Fidel aje asome madudu yako,halafu kanambia ana ham ya kumpa mtu za uso.
 
mwenzangu, uliitaja kwa msisitizo nikahisi ucameroon umeanza! mi nna wivu hadi na wake wenza bibie, u gave me goose bumps (u dont make me blush like NN does you,lol)
Basi kua na amani, mi siko hivo kabisa. Sijui ningekutajia nani akuhakikishie maana anae nijua kwa ukaribu kidogo ni Klorokwini ila sio karibu kiivo lol. We are just deskmate planing kuchongeana penseli. lol
NN made me blush kuniuliza mambo ya nguo za ndani... how intimate... lol
 
Ngoja nikuimbie kibongo bongo...

Hapi bathdei tu yuuu
Hapi bathdei tu yuuu

Happy bathdei dia BB
Happy bathdei tu yuu.

How old are you now?
How old are you now?

From good friends and true,
From old friends and new,
May good luck go with you,
And happiness too.

Hata kama ni kwenye wimbo na kwa kuwa ulijua mlengwa ni SHE...Ulitakiwa kukwepa hilo swali....

Naamini unakumbuka kuwa hawapendi hata kidogo kulijibu...Bahati nzuri umemuimbia leo...kwa hiyo hutamharibia furaha yake!!
 
Back
Top Bottom