Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hata kama ni kwenye wimbo na kwa kuwa ulijua mlengwa ni SHE...Ulitakiwa kukwepa hilo swali....

Naamini unakumbuka kuwa hawapendi hata kidogo kulijibu...Bahati nzuri umemuimbia leo...kwa hiyo hutamharibia furaha yake!!

Braza, hilo swali katika huo wimbo ni rhetorical question tu.
 
sio shemeji bali nilisagana na wifi yangu

martina we pima utamu zaidi uliupata kwa nani, maniania au huyo msiginaji mwenzio, kama uliposagwa ndio utamu ulikolea basi wala usihofu, endelea na wifi kwenye mambo ya mapenzi raha unajipa mwenyewe mjaa laana weee!!!!
 
martina we pima utamu zaidi uliupata kwa nani, maniania au huyo msiginaji mwenzio, kama uliposagwa ndio utamu ulikolea basi wala usihofu, endelea na wifi kwenye mambo ya mapenzi raha unajipa mwenyewe mjaa laana weee!!!!

ushauri mzuri kwani nahisi kinachomsumbua mleta uzi ni kutak afanye tena!huu ushetani wa mapenzi ya jinsia moja si ya kujaribu kwani mara nyingi anayeact kama mwanaume au mwanamke hujitahidi kuhamasisha kama anakolea sana na game!!!!wizi huo wa hisia ndo hudatisha
 
Duuh hiyo ni ' wifi kula, kakaako hayupo'
Suppose kaka anagundua, l am sure atamwambia dada yake ...."now you know why l am crazy about her, so nisisikie ukipeleka umbea home kuwa kalishwa libwata na bla bla".....

Kuna jamaa humu alisema bora mkewe asagwe na mwanamke mwenziwe kuliko kudoiwa na mwanaume.
 
sio shemeji bali nilisagana na wifi yangu

Safari moja huanzisha nyingine. Jihadhali na huyo wifi yako maana kabobea katika hayo mambo ndiyo maana kajifanya kaka mtu, sidhani kama kaka yake atafurahi akisikia alichokufanyia kwaa niaba yake. Kwanzaa kamvunjia heshima kaka yake, pili kakufundisha kitu kibaya. Muogope.
 

Wow nimekudondokea ghafla, is your wallet tough
 
Nashangaa kuduu na KE mwenzie afu hisia zikaja wakamaliza Bishanga. Mimi kusingeweza kulainika kabisa. KITU UNLIKE CHARGES BANAA


Umesoma boarding wewe??

Mie najua kuwa simba akizidiwa anawezza kufakamia hata nyasi....!!
 
Umesoma boarding wewe??

Mie najua kuwa simba akizidiwa anawezza kufakamia hata nyasi....!!

Kwa hiyo mambo ya kama haya kwenye hii simulizi ya Marytina ni ya kweli?

Unajua sie wengine hatukusoma boarding kwa hiyo ndo maana tunastuka kidogo.
 
Kwa hiyo mambo ya kama haya kwenye hii simulizi ya Marytina ni ya kweli?

Unajua sie wengine hatukusoma boarding kwa hiyo ndo maana tunastuka kidogo.

Sina tatizo la kutomwamini Marytina kwa sababu hajasema kama ni story ya kutunga....Kwa hiyo hadi sasa napresume amesema ukweli wake. Pia kaeleza vizuri tu sababu za kueleza haya...she is trying to get things out of her mind..Logical, isn't it??

Huko boarding bwana pasikie tu...!

Enzi zetu ilikuwa utani tu...kila form 3 au 4, alikuwa na mchumba wa form 1..ila it was for utani tu!!

Nasikia na wasichana wa enzi zetu nao walikuwa na couples za bwenini...kwa utani tu.

Wajukuu zetu hawafanyi utani tena...Wanafanya kweli kama hawana akili....!!

Naogopa hostel kama ukoma...Nisingependa wajukuu zangu waguse huko hata kama ni za dini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…