Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Sitakuja kupeleka mtoto akasome boarding.
Hata bila kupelekwa boarding anaweza kufanya, na wengine wanaenda boarding hawafanyi. Kila mtu ana namna yake ya kua.
Mi kinacho nifanya niendelee kumsubiri marytina ni kale kahali kakujifanya anasikitika huku alimtega mwenzie kwa kulala vila kufunika chuchu. lol
 

Kweli lakini.

Halafu mbona umeng'ang'ania sana hapo kwenye chuchu? Wapenda chuchuz wewe?
 
hajakosea chochote ila nashindwa kuelewa kwanini hakuweza kuzuia hicho kitu. Huyo wifi alikuwa baunsa au?


Mwenzenu alikuwa amezidiwa....hukuona kuwa alikuwa hajala kwa miezi karibia 6???

Mie namwelewa tu kwa sababu naweza kuvuta kumbukumbu (enzi zile za ujana wetu) jinsi nguvu hiyo ya ajabu inavyosumbua...Ukizingatia alikumbwa na upungufu wa mvua kwa muda mrefu wakati huo kuna kimbunga cha kutisha!!
 
Kweli lakini.

Halafu mbona umeng'ang'ania sana hapo kwenye chuchu? Wapenda chuchuz wewe?

Kwani huoni kuwa ni mwali...hawa kule kwetu pwani wanafundishwa sana nguvu ya hicho kitu...

Nimemkumbuka jamaa yangu ambaye alikuwa anapenda kusimama pale kinondoni karibu na mahakamani na kuwakamata maziwa wasichana waliokuwa wakitoka mwananyamala kwenda sokoni pale kwa manyanya...Yaani alikuwa navurumishiwa matusi kama maporomoko ya mawe....Sema tu alikuwa hakomi!!
 

heee! Kuzidiwa si angepiga hata punyeto. Lol!
 
Umesoma boarding wewe??

Mie najua kuwa simba akizidiwa anawezza kufakamia hata nyasi....!!

Tena o level na advanced, girls tupu.
Lakini jinsiia moja?
Raha MASHINE ikuguse bwana, hakuna cha kuzidiwa hapa.
Ww babu unasiisimkwa ukiguswa na wa jinsia yako? Na ukizidiwa unakuwaga unatafuta ME? Kumradhi lakini
 
Kweli lakini.

Halafu mbona umeng'ang'ania sana hapo kwenye chuchu? Wapenda chuchuz wewe?
Si ndio alipokamatika hapo? kama anajijua yeye ni sensitive kwa nini aliziacha nje??????
hayo mengine ya kiss, na mengine yalikuja baada ya wifi kuli... chuchu.
 
ile ilimtokea rafiki yake wa karibu siyo yeye.
ila yeye( martyna) zamani baba yake alikuwa mchaga mana yake alikuwa mngoni, na alikuwa anaishi Geneva of africa
siku hizi yeye(martyna) baba yake amekuwa mngoni na mama yake amekuwa mchaga

Umenichanganya hapo.
 
Si ndio alipokamatika hapo? kama anajijua yeye ni sensitive kwa nini aliziacha nje??????
hayo mengine ya kiss, na mengine yalikuja baada ya wifi kuli... chuchu.

Mwali bana. Matata sana wewe. Chuchuz.
 
Tena o level na advanced, girls tupu.
Lakini jinsiia moja?
Raha MASHINE ikuguse bwana, hakuna cha kuzidiwa hapa.
Ww babu unasiisimkwa ukiguswa na wa jinsia yako? Na ukizidiwa unakuwaga unatafuta ME? Kumradhi lakini

Nimeeleza hapo juu Koku,

Enzi zetu ilikuwa ni utani na pia tulikuwa tunatumia njia hiyo kuwalinda form 1 wasinyanyaswe na form 2. Kwa hiyo mtu ulikuwa unachagua form 1 anakuwa mtoto wako...Unamwita form 1 wangu au mswaki wangu!! Basi....nothing else!!

Haki ya nanai, sijawahi kuhisi kwamba ME anaweza si tu kuuwasha moto wangu bali hata kuvuta macho yangu....

Ngoja niishie hapo ili nisiharibu hamu yangu....mwenzio sijapata dinner!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…