Hiki kitanda kinaweza kutengenezwa hapa Tanzania?

Hivyo nimeviona Sana kwenye luxury camps huko mbugani, bonge la kitanda
 
Wanatangeneza fasta tu, tembelea keko kuna vitu pale huwezi amini kama vinatoka Tanzania.
 
sio kweli, hivi vitanda vinauzwa 3m mpaka 4.5m
Achana na vile vya kwenye maduka makubwa ya furniture ambavyo unauziwa na kitanda chake vilivyoagizwa toka nje.

Me nazungumzia ambacho unatengenezewa hapa hapa na mafundi godoro unaweka lako.
Kama ulinunua kwa bei hiyo basi umepigwa tena umepigwa parefu.
Hicho unatengenezewa hapa hapa tena kwa material quality na jumla ya gharama za material haizidi lak 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…