Nimepigwa hahaaAchana na vile vya kwenye maduka makubwa ya furniture ambavyo unauziwa na kitanda chake vilivyoagizwa toka nje.
Me nazungumzia ambacho unatengenezewa hapa hapa na mafundi godoro unaweka lako.
Kama ulinunua kwa bei hiyo basi umepigwa tena umepigwa parefu.
Hicho unatengenezewa hapa hapa tena kwa material quality na jumla ya gharama za material haizidi lak 4.
Mzee kama unazungumzia vya kutengenezwa hapa sawa lakini sio cha ubora huo, unaweza kuwa hujui vitu vilivyo kwenye hicho kitanda kikiwa complete