Hiki kiti kina nini?

Naona hiki kiti huko TikTok wamekifanyia mjadala na kukihusisha na ufunuo kwa Biblia, kina maana gani?

View attachment 2592397
Hakina kitu zaidi ya illusion comfort boss, mtu tuu anagaramika kakitu kama kikombe cha loliondo anavuna pesa, expire time ikifka hutoona mtu akikifuatilia, kitu kipya huvutia na kitu kilichozoeleka huchosha na hutakihitaji
 
Utawakuta waafrika kwa 99% hapo na bado ni masikini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hukuti mzungu kwenye haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…