Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Naona hiki kiti huko TikTok wamekifanyia mjadala na kukihusisha na ufunuo kwa Biblia, kina maana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakina kitu zaidi ya illusion comfort boss, mtu tuu anagaramika kakitu kama kikombe cha loliondo anavuna pesa, expire time ikifka hutoona mtu akikifuatilia, kitu kipya huvutia na kitu kilichozoeleka huchosha na hutakihitajiNaona hiki kiti huko TikTok wamekifanyia mjadala na kukihusisha na ufunuo kwa Biblia, kina maana gani?
View attachment 2592397