Hiki kitu hakiwakeri wadada

Hiki kitu hakiwakeri wadada

Hivi Glenn unaonaje hili suala la besti zako wanaambiwa wanasura za baba zao??
 
Mimi nawaza humu sijui nani anawaambia eti wanawake wa JF ni wana sura ya kutisha?

Niambieni. Wanaume wa humu mliojificha kwenye avatar mie tokea niwafahamu watu wa humu wanaume wa JF wanasura mbaya hadi kero wamepauka?

Sasa nyie mlitaka mtu kama Beyonce utampataje tuambie tu .

Sema kama unataka warembo kweli kweli basi uwe handsome na ni baada ya kufanya plastic surgery sio mje tu mdhihaki watu nahuku hata nyie mmechoka hivyo.

Hivi let me tell you mwanaume mzuri hata Mzungu haoi watu wazuri maana wanajua so kama mnazingua na Wala hamna hela tutaolewa na vyeipi pelekeni shida zenu huko sio mtukwaze eti tunasura mbaya na hizo I'd zetu zinapicha nzuri ila siye hatumo hivyoo.

Kama nyie ni mangtlemen basi hakunaga
Wanaume wa humu wengi wana sura kama nyungumawe.
Alf vijitu vifupi vingi ndo mana vinamakasiriko.
 
Kwa hio unamaanisha nini yaan sababu wewe km mbovu mbovu tu Ila mwanaume aangalii sura, una tako linaweza kuweka position nzuri kwenye mbuzi kagoma kupiga chafya?
Screenshot_20230201-232302.png
 
Kama una sura mbaaya watu wasiseme? Utake usitake mwanamke lazima uwe mrembo, uwe unavutia. Wanaume hata uwe na sura ngumu vipi Wala haijalishi

Kuhusu single mothers ni kweli kabisa humu wamejaa
 
Back
Top Bottom