Hiki kitu kamwe hakiwezi kutokea ndani ya JF, yaani kamwe hakitakaa kitokee!

Mnaweza nichangia jero jero tuu wakuu nisiikwepe dinner leo?
0621768030

comment tayari.
 
Chelsea mkibahatisha ushindi tunapata tabu kinyama
Huwa hamtulii yani

Imagine huu uzi uko tayari
Haya makasiriko nahisi ni ya shabiki wa timu miongoni mwa hizi: Man U, Arsenal, au Liverpool! Pole sana. Chelsea ni timu kubwa sana. Usiichukulie poa. Mkizubaa kidogo tu inachukua ubingwa wa EPL.
 
Huwezi maana huwa Kuna vidudu mtu huwa havikomenti achana na hilo wote wanao view wakikomenti itakuwa saresare tu walioview na kukomenti.
Tunapiga soga tu hapa kijiweni!😊😊
 
Haya makasiriko nahisi ni ya shabiki wa timu miongoni mwa hizi: Man U, Arsenal, au Liverpool! Pole sana. Chelsea ni timu kubwa sana. Usiichukulie poa. Mkizubaa kidogo tu inachukua ubingwa wa EPL.

Hisia zako sio za kweli

Team yangu haipo kwenye hizo ulizotaja...mimi ni Norwich
 
Huwezi maana huwa Kuna vidudu mtu huwa havikomenti achana na hilo wote wanao view wakikomenti itakuwa saresare tu walioview na kukomenti.

Kwahiyo tusio cmment hua ni vidudu watu[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…