kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Kama ulicheck hii game ambayo kiukweli ilikuwa kali sana japo mazembe alionekana kuzidiwa, sasa kuna penalty ya 2 waliyopewa Casablanca, baada ya refa kupuliza kipyenga kuashiria penalty ipigwe na akaonesha kabisa tuta, then Casablanca wakawa wanajiandaa kupiga, mara refa akafanya mawasiliano na marefa wa nje then akaenda nje kuruidia kucheck kweny screen iliyokuwa pembeni mwa uwanja then akarudi uwanjani na kubatilisha penalty, Penalty haikupigwa na mpira ukaanzishwa na Tp Mazembe mchezo ukaendelea.
Hii kiti kwangu ndo mara ya kwanza kuona, ni mdau sana wa EPL but sijawahi ona kitu kama ile, naombeni kujuzwa kwa kina juu ya hii sheria, na je inatumika kwenye ligi zote au kwa game ile tu ilitumika.