Hiki kitu kimenishangaza kwenye mechi ya Casablanca vs TP Mazembe, hii sheria ipoje wadau?

Hiki kitu kimenishangaza kwenye mechi ya Casablanca vs TP Mazembe, hii sheria ipoje wadau?

Wanataka kuufanya mpira wa miguu kuwa Kama game ya Playstation
 
Hapana mkuu VAR haitumiki kwenye EPL na hivo haikutumika wenye game ya tot na Liverpool
Ok sawa ile penalty ya mwsho ilokaa muda mrefu waksubr wajadriane Ilkuwa ni nn ile? maana refa alkuwa km anaskliza kitu kwa jamaa walio nje
 
Ok sawa ile penalty ya mwsho ilokaa muda mrefu waksubr wajadriane Ilkuwa ni nn ile? maana refa alkuwa km anaskliza kitu kwa jamaa walio nje
Kwenye hiyo match ni kweli technology ya VAR ilitumika, ili kupunguza errors ambazo waga refa na wasaidizi wake waga wanasababisha, hivo pale refa alikuwa anasikiliza maelekezo kutoka kwa wasaidizi ambao wanakuwa wanaangalia mpira kwenye tv na wanafanya replay then wanakuja na maamuzi ya mwisho either kama ni penalty au si penalty
 
Lile goli la Lampard Kwa Madiba 2010 ndio limeleta haya maendeleo
 
Hiyo penalt iliyokataliwa kwa njia ya technology ya VAR ingelikuwa ndio imewatokea Tp mazembe na ikakataliwa aise wabongo wangeponda sana, na matusi sana.ooh waarabu wamebebwa ohh sijui nini 😛😛😛wakati mwingine tukubali matokeo.na tukubali waarabu wako juu kisoka.kwa kweli Game ilikuwa nzuri sana, mazembe walizidiwa mno. So Wydad walistahili kushinda kivyovyote vile,, coz walicheza mpira wa akili sana.

Viva Simba..
 
Hiyo tenolojia ikija kwetu, tutakuwa na uwezo wa kupindua kabisa hata matokeo mazima. Yaani mnacheza na Man U mnapigwa 5-2 the refa atasema goal halali ni 2 tu, hivyo mpira ni droo.
 
Ok sawa ile penalty ya mwsho ilokaa muda mrefu waksubr wajadriane Ilkuwa ni nn ile? maana refa alkuwa km anaskliza kitu kwa jamaa walio nje
Alijadiliana na msaidizi wake, Yale mengine yalikua mawasiliano ya kawaida sio na VAR.
 
Wasitumie aisee. Utata-utata na figisu ndio unaleta raha kwenye soka. Kila kitu kisiwani so perfect msisimko utapungua
Na hapa ndio mashabiki wanaiambia FIFA, ila hawataki kuskia! Burudani ya soka ni pamoja na Maamuzi ya ajabu ya marefarii na!
 
Huo ndio ukwel ile hali ya kubishana on controvesial decisions ndio inafanya watu wapende mpira wawe na ushabik otherwise kila kitu kikiwa planned haina maana
Soka linapoteza mvuto kama mieleka ya wwe soon
 
Back
Top Bottom