Hiki kitukimeniuma, japo ni kidogo! Jirani kaomba unga wa Sembe kaenda kufulia viatu

@moderator hawa watu wanachafua nyuzi

CC: Mtoto wa Baba
 
Viatu vyeupe vya kitambaa kama cha jeans huwa vinaoshwa na unga. Lakini naww ukishampa mtu kitu kwann utake kumpangia matumizi kama ulitoa kwa moyo mmoja basi haina haja ya kulalamika
Unaoshaje?
 
Shida ni kutumia unga kusafishia viatu au kuomba unga wako na kusafishia viatu? Je angenunua unga wake na kutumia kusafisha viatu pia lingekuwa kosa? Mihogo ni chakula bongo lakini kuna kiwanda kinaanzishwa kutumia mihogo kuzalisha wanga ukatumike viwandani huko china na sio kwa ajili ya kula, hapo vipi? Wengine wanalima mahindi kulisha ng'ombe hawajui hata kama kuna kitu kinaitwa ugali.
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…