Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@moderator hawa watu wanachafua nyuziFahamu Matumizi ya Dawa za Hospitalini kwa kutumia simu yako
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ujue WhatsApp mpya ya 2019 ya kisasa na kijanja zaidi iko kama Instagram vile. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
ulizozikoskuzitazama zilizo. Ktk chanel yangu hii ni pamoja na hizi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jinsi ya kuifanya cm. Yako iwe kama computer... Link yake hii hapa itazame leo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jinsi ya kuifanya cm yako iwe kama na future kama za iPhone link yake hii hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jinsi ya kutazama video za YouTube ukiwa WhatsApp bila. Kutoka link hii hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jinsi ya kuongeza saut ya simu yako iwe kubwa kama SUWBOOFER hata kama simu ina sauti ndogo sana.. Link yake hii hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jinsi ya kufanya kuzuia mtu yoyote kwenye group aliweze kubadili jina wala picha au icon ya group bila idbini yako.. Link yake hii hapa chini itazame[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ifanye simu yako iwe na kipengere au future kama ya IPhone hata kama ni ya tecno...link ya video hii hii hapa chini utazame[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Njia ya rahisi na haraka ya kudodownload picha na video Instagram... link yake hii hapa chini itazame[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Njia mpya rahisi naya haraka ya kudodownload Video youtube hii hapa link yake itazame[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Viatu vyeupe,, viatu vyenye kitambaa cha jinsi,, viatu vyenye asili ya manyoyaa,,Na hii haijalishi kama rangi ya viatu ni kahawia, nyeusi, blue n.k. utatumia tu huo unga ambao wenyewe kwa rangi ni mweupe?
Unaoshaje?Viatu vyeupe vya kitambaa kama cha jeans huwa vinaoshwa na unga. Lakini naww ukishampa mtu kitu kwann utake kumpangia matumizi kama ulitoa kwa moyo mmoja basi haina haja ya kulalamika
Wanaweka kwenye raba ili ikianikwa isiweke utando au wanasema isijikojoleeeHuo unga unasafishaje viatu? Sijawahi kuona au kusikia hii kitu.
Ila baada ya kugundua kwamba unga uliompa aliutumia kwa kusafishia viatu muda huo huo kama ungemwambia huyo jirani yako kwa upole tu kwamba hukujua kama unga alioomba ulikuwa ni wa kusafishia viatu na ukamsikia jibu lake usingeteseka kiasi hiki. Maana kwa jinsi unavyoonekana baada ya kuamua kuanzisha uzi huu hapa leo utateseka sana siku nzima kwa sababu utalazimika kuwa unauchungulia kila mara kuona wadau wanasemaje kuhusu hii hoja yako. Sasa hayo si mateso jamani wakati ungeweza kuyaepuka kwa kutumia hiyo njia mbadala na pia kwa kuzingatia kwamba ulikuwa umetoka kanisani?