harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Mkuu kama alikuomba kwa ajili ya kupikia Sawa ila kama ukupewa sababu ya kuombwa unga na wewe ukatoa bila kumuliza anakoupeleka mm sijaona kosa maana ata mm natumiaga kung'arisha viatu na vinang'aa vizuri tu.Issue sio unga ishu ni chakula. Hata kama ingekuwa punje moja ya haragwe
Push to Start
Sent using Jamii Forums mobile app