Hiki kituko cha msimu, yaani Profesa Jay ndio MC wa Simba day

Mpoki na wimbo wa taifa wa kongo na kukata viuno,benchi la ufundi la Simba Kuna waganga.
 
Si mlisema uwanja hautajazwa kwa sababu aliyekuwa anawaleta mashabiki hayupo tena,leo mnakuja na kuhoj mc tena,mlidhani atakuwa yeye milele,uwanja umejazwa sa 7.50 mchana na mashabiki wengine wapo shamba la bibi wanafuatilia tamasha lao kwenye luninga,mmeishiwa hoja,nyie mna misukule,simba ina Mungu
 
Mashabiki wamekuja Kwa Sababu ya ku mprove wrong Haji Manara
 
Nyau upande wa ushereheshaji wamekuwa kituko
 
Manara ni level nyingine...kwa vile walivyojitahidi kujaza uwanja leo angekuwepo Manara pale ingekuwa hatari..
Mara ya kwanza mlikuwa mnasema bila Manara hawawezi kujaza uwanja, sasaivi tena!!!!
 
Wangese sana wale wanigeria

Mlisahau kama mlitakiwa kwenda kwao pia,nyinyi mpaka sasa Key Players wao wako hapa Dar wamezuiwa kusafiri,hao kina Feisal na wao watakaa week nzima huko na Ngao ya Jamii hawatokuwepo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tumeingiza timu uwanjani coz hakuna vyeti vinavyo onesha wachezaji hao wana Corona, wanatoa taarifa kienyeji
 
Mpira umeanza Rivers United vs Yanga.

Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.
 
Back
Top Bottom