Hiki kituko ndio kitatufungia mwaka. Chako ni kipi?

Hiki kituko ndio kitatufungia mwaka. Chako ni kipi?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Vimekuwepo vingi kuanzia January mpaka tunapokaribia kuumaliza mwaka 2023
Vilikuwepo vya kufurahisha
Vilikuwepo vya kushangaza
Vilikuwepo vya kuchanganya
Vilikuwepo vya kuhuzunisha
Vilikuwepo vya kuumiza nknk

Najua ni vingi na kuna kimoja ama viwili utakuwa unavikumbuka.. Please share..[emoji23]
Changu ni hiki hapa
IMG-20231227-WA0008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha pili hiki hapa
azamtvtz

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Ruvuma linawasaka popote walipo mhandisi wa Wilaya ya Halmashauri ya Mbinga Mji pamoja na daktari aliyehusika kuweka plasta ngumu (POP) kwenye mkono wa mhandisi huyo, kuonesha kwamba anaumwa ili kukwepa tuhuma za ubadhirifu wa fedha pamoja na wizi wa vifaa vya shule.
Screenshots_2023-12-27-15-05-39.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo matukio mengi. Nami nitashare kwa uchache
 

Attachments

  • Snapinsta.app_217427921_872646380126531_8785596058157558871_n_1080.jpg
    Snapinsta.app_217427921_872646380126531_8785596058157558871_n_1080.jpg
    74.3 KB · Views: 16
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi
IMG-20231228-WA0000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom