Hiki kizazi cha mziki wa Bongo Fleva kikipewa tension na maskio mazuri naiona Bongo kama Nigeria

Nenda kwanza kajifunze maana ya tension. Sio unajiandikia tu
Ùmeandika kwa hasira sana yaani
Mleta mada ni nyonyoma fulan hivi yuko kijiwe na masela wanawaza muziki uwe na Mirage kubwa sana ambayo kimsingi haiwezekani
Maana sekta nyingi za msingi zinachechemea
Kwanza tutambue kuwa muziki ni burudani na sio miongoni mwa sekta nyeti katika Taifa letu.
 
Inasikitisha sana licha ya Tanzania kuwa Taifa lenye vijana wengi wenye vipaji vingi pia.

Lakini hatuna vijana wengi wanaojulikana kimataifa kama mataifa mengine, Tukiangalia mataifa mengine Kama Nigeria ndio taifa ambalo msanii anatoa hit song moja ila anahit na kuwa nominated kwenye tuzo kubwa na value yake ya kuperform inapanda na kupita hata wasanii wakubwa mfano mzuri ni watu akina REMA, SIMI, na wengineo, ambapo hata hao wasanii wakubwa Nigeria miaka hiyo walitambulika na kupata umaarufu kwa ngoma moja tu.

Ila hapa nimegundua sio kwamba hatuna vipaji ila tatzo Bongo Uteam unaponza sanaa yetu kias kwamba wasanii wazuri ambao hawafungamani na Team yeyote hawazingatiwi.

Kuna kizazi hiki cha vijana ambao wametoka 2022,-2024. Kusema kweli ni vijana wanaojua mziki sana ila cha ajabu naona attension imeshuka tena kwao yaani msanii mchanga anaonekana tayari keshazeeka kwa sababu hazingatiwi tena

1. Dayoo
2. Lody music
3. Lony music
4. Ronze
5. Michu,
6. Mapanch BMB
7. B2K
8. Mavokali
9. Platform
10, Bryban.

ONGEZA AMBAO NIMESAHAU HAPA...
Sikilizeni honest and very important opinion kutoka kwangu: Achaneni na mambo mengine yooooote ambayo hayana maana kwa nchi yetu na raia wake. Jiketeni kwanza kwenye kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye utawala dhalimu wa CCM. Nguvu zenu zote ziwekeni kwenye maandamano ya amani yaliyopangwa ili kuweka shinikizo la mabadiliko. Tukifanikiwa kwenye hili, mambo mengine yote yatabadilika yenyewe. La , sivyo, hama hamsikii ushauri huu sasa hivi, kuna siku mtakuja kulia na kusaga meno na kuanza kuambiana, tulikuwa wajinga kweli kweli kukaa kimya!
 
Unamaanisha wananchi wachukue nchi kutoka CCM wampe nani sasa ?
Kifupi ni kwamba bado hujajua tunapokwama ni wapi tulia hivyo
Hivi unaowahubiria waandamane ni watanzania ambao asilimia 80 hawana silaha? Halafu waandamane dhidi ya majambazi yanayomiliki vikosi vyenye mitutu?
Uko makini kweli mkuu?
 
Sijui elimu au exposure yako, lakini kama umesoma angalau form four basi utakuwa ulikuwa unakariri tu. Nakushauri jaribu kusoma kuhusu histori ya nchi mbali mbali duniani.
 
Basi nikupe hata PHD ya kwenye keyboard lakini bado haitoshi uwafanye watanzania waandamane
Pili mimi sio mpinzani wako, mpinzani wako ni CCM pambana nae
Sio kila anaetaka kukutoa tongo tongo machoni ukahisi anataka kukutoboa mboni.
 
Na unapozungumzia exposure na elimu vinakusaidia nini kuinasua nchi kutoka kwenye makucha ya Mnyonyaji?
 
Kati ya simba wa serengeti na wasanii wote wa bongo nani anaitangaza zaidi Tanzania?
Wanafaida gani kwa mfano? Ulishawahibkusikia wapi wasanii wamesaidia kwenye maafa yoyote hapa Tanzania bila kushurutishwa?
Wasanii wenyewe wa muziki shule wameishia form 4 na lasaba watapatavwapi ubunifu? Kuandika tu taabu.
 
Na unapozungumzia exposure na elimu vinakusaidia nini kuinasua nchi kutoka kwenye makucha ya Mnyonyaji?
This is just another question which shows your understanding capacity.. Education and exposure can help remove a country's regime by empowering people with knowledge. Informed wanachi are more likely to question and challenge unjustice practices and policies. Exposure helps break down narrow viewpoints imposed by a regime and encourages citizens to question and parcipitate in activities like demostration and strikes. Karibu kwenye maandamano tarehe 24.01.24
 
Basi nikupe hata PHD ya kwenye keyboard lakini bado haitoshi uwafanye watanzania waandamane
Pili mimi sio mpinzani wako, mpinzani wako ni CCM pambana nae
Sio kila anaetaka kukutoa tongo tongo machoni ukahisi anataka kukutoboa mboni.
Who are you, by the way? Are you a Tanzanian representative? Have Tanzanians sent you to speak on their behalf? It would be reasonable if you speak for yourself.
 
Na wew ni nan hadì umobilize watu kuandamana?
Ukiandamana wewe na familia yako inatosha tu usiwafanye watanzania ni wajinga kiasi hicho
Any way pambana labda utapata teuzi siku moja.
 
Back
Top Bottom