Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

Bapalidako

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
79
Reaction score
166
Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika,

Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani na wananafasi gani hapa duniani.

yaani niseme wapowapo tu, hawajui haki zao wala thamani yao,ndiyo maana wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi na watawala.

Huwezi kufananisha na kizazi kinachosikiliza reggae kwani wanazijua haki zao na wanajitambu kutokana na mashairi kwani mara nyingi yanapingana na selikali kandamizi na dhalimu
 
wasikiliza reggae
1724063704128.jpg
 
Usituletee hasira zako hapa,
Wewe ambae husikilizi Bongo freva umefanya kipi cha maana sana?
Umegundua nini?
Umeunda nini?
Maisha yamekupiga umekosa ubunifu unatafuta vitu vya kutolea hasira..😁

Kwamba watu wakiacha kuimba na kusikiliza bongo freva ndio CCM itatoka madarakani?

Mbona walokole wanasikiliza na kucheza utamu wa Yesu na wanamaisha magumu na waswali suni si kuna kaswida mbona wanavaa kanzu na kobazi zilizochoka na hawana maisha?

Ajabu waimba Bongo freva wengi wamekuzidi maisha parefu na wasikilizaji wengi wamekuzidi pia what the FVC fun!

Umekuja umelewa hapa!
😁😁
 
Miziki ina athari moja kwa Moja kwenye Subconscious Mind ndio maana Unakumbuka mashairi vizuri hata kama hujawah Play huo Muziki kwenye simu yako. Kwa kuusikia tu ukipigwa na watu

Subconscious Mind ina dominate tabia zote usizojua kama unazo.

Kila siku watu wana-rewrite their Subconscious Mind kutoka kwenye Ujumbe ule kwa nyimbo. Sijui chomeka, Nipe na Mimi, Unanimaliza etc etc. Miziki mzuri ni ile isiyo na Demonic Lyrics, base etc etc etc

Pia miziki inakuweka binadamu Kwenye Hypnotic Condition.

MSIJE KUNISHAMBULIE wala sitaki kubadili mambo ya mtu, nimeandika tu nilichojua 😄😄
 
Usituletee hasira zako hapa,
Wewe ambae husikilizi Bongo freva umefanya kipi cha maana sana...
umeruka nae kwa ukali kama masai kaibiwa rungu

nenda nae taratibu hii nchi siniyaa amani swaiba

anahoja yake asikilizwe ila mkumbushe uko kwenye ukumbi wa reggae wapo wakina mavado na shenseea
 
Bila kufichai Tasnia ya
Mziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika,

Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine,mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani,na wananafasi gani hapa dunian...
Utalaumu bongo flavor bure.......matumizi mabaya ya technology ndo chanzo
 
Miziki ina athari moja kwa Moja kwenye Subconscious Mind ndio maana Unakumbuka mashairi vizuri hata kama hujawah Play huo Muziki kwenye simu yako. Kwa kuusikia tu ukipigwa na wat...
Kwenye music hakuna demonic Lyrics inategemeana unasimamia wapi na kwa wakati gani kipi unasikiliza..

Music inaleta athari pale unapokua katika situation fulani mfano unapokua umelewa,mahusiano yaani erotic etc,Simanzi,Furaha nk nk katika situation hizo lazima unaposikiliza ukapata athari za kile kitu

Mfano huwezi ukawa umependa halafu ukaenda msikiliza Bob marley na Zimbabwe hapana hapo Moja kwa Moja ni Mark Anthony I love you nk nk

So sometimes music is medicine and sometimes music is opium drugs!
 
Kwenye music hakuna demonic Lyrics inategemeana unasimamia wapi na kwa wakati gani kipi unasikiliza..

Music inaleta athari pale unapokua katika situation fulani mfano unapokua umelewa,mahusiano yaani erotic etc,Simanzi,Furaha nk nk katika situation hizo lazima unaposikiliza ukapata athari za kile kitu
Mfano huwezi ukawa umependa halafu ukaenda msikiliza Bob marley na Zimbabwe hapana hapo Moja kwa Moja ni Mark Anthony I love you nk nk
So sometimes music is medicine and sometimes music is opium drugs!
okay okay
YOU ARE RIGHT SIR. Sorry for anything 🤺
 
Mzee fanya mambo Yako yaani Mimi nisimsikilize harmonize au rayvanny kisa wewe maisha yamekupiga umeshindwa nini Cha kufanya unaalua kutoa mapovu wewe amabae hausiklizi mziki umefanya nini la maana pambana na umasikini wako Kila mtu kaja kivyake duniani hapa
 
Back
Top Bottom