Bila kufichai Tasnia ya
Mziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika,
Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine,mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani,na wananafasi gani hapa duniani.
yaani niseme wapowapo tu,hawajui haki zao wala thamani yao,ndiyo maana wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi,na watawala,
Huwezi kufananisha na kizazi kinachosikiliza reggae kwani wanazijua haki zao na wanajitambu kutokana na mashairi kwani mara nyingi yanapingana na selikali kandamizi na dhalimu