jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Ah mkuu uliposema upo kanda ya kaskazini, afu nilipoona hyo mijihela imekutoka nikajua tayari kijana wangu kakamatika....
Hiyo tuisahau, historia haikupi favour, hao watu hawana huo utamaduni wa kurejesha pesa!
Tutafakari option B.... Kaka mke wa Mtu noma bwana, mbona pande hyo kuna watoto wakali sana!
Kweli huyu anataka aniuzie mbuzi kwenye kiroba na j3 anasubiria jibu eti!
Jamani, kwani laki 3.5 ni nyingi sana kununua ngono? Kwani huwa mnanunua sh ngapi? Dah, kumbe ndo maana mie sipati mnunuzi. Kha!
kwani wewe unauza bei gani?
Unataka ku-bid? Inabidi ulete bank statement za miezi 3 manake running costs ni kubwa kuliko bei ya kununulia
poa, ila hebu cheki na mchina, running costs zinaweza kushuka, kisha ushushe bei..
Sijihusushi kibiashara na mchina. Kama unahitaji chinese products baba, tangaza kulee utapata. Bandika hiyo bank statement nianze kuku-evaluate
N:B Niliulizia washkaji wakadai kweli jamaa hamna kitu, ila mama anajiheshimu, Wakashangaa mie kupata zali eti labda ugeni wangu umesaidia? Mdada nae mkalii kitu ya Karatu.
Yeye kauliza kuhusu pesa zake, na mimi nimemwambia ni bora amalize kwanza business ya pesa kabla hawajaanza hayo mengine
Kuna siku akapatwa na shida akaniomba nimsaidie kama 350,000 atanirudishia bahada ya miezi miwili, sio mbaya nikampa.
Bado miezi miwili haijakamilika sasa, akanipa stori iliyoniacha mdomo wazi! kuwa mumewe ana matatizo,yaliyosababisha jogoo wake ashindwe kuwika.
Nilisikitika sana kisha nikampa pole! Akanambia pole haitoshi naomba msaada wako!
Nikamuuliza msaada gani anaohuitaji! Akanambia kuwa mimi ni mtu mzima nadhani nishamuelewa anachoniomba!
Hakuna hasara yoyote, ila makubaliano hayakua ya kuuziana penzi. Ilikua apewe laki tatu na nusu alafu arudishe. Kama anataka kubadili makubaliano basi aweke mambo wazi alafu Mike afikirie tena upya. Sio kumtega...kuna hasara gani akinunua penzi kwa 350,000/-? mboma pesa kidogo sana hiyo kwa thamani ya penzi toka Karatu?
Kaka hawana utamaduni wa kurejesha? unanipa wasiwasi maana na mimi niliazimwa laki tatu na mtu wa kanda ya huko tangu mwezi november mwaka jana, nimesharudishiwa laki moja tu mpaka sasa, ila amerudi tena juzi nimuongezee milioni!Ah mkuu uliposema upo kanda ya kaskazini, afu nilipoona hyo mijihela imekutoka nikajua tayari kijana wangu kakamatika....
Hiyo tuisahau, historia haikupi favour, hao watu hawana huo utamaduni wa kurejesha pesa!
Tutafakari option B.... Kaka mke wa Mtu noma bwana, mbona pande hyo kuna watoto wakali sana!
Hakuna hasara yoyote, ila makubaliano hayakua ya kuuziana penzi. Ilikua apewe laki tatu na nusu alafu arudishe. Kama anataka kubadili makubaliano basi aweke mambo wazi alafu Mike afikirie tena upya. Sio kumtega...
duh! hata sina cha kujibu hapo maana umetoa info zingine za ndani kuliko hata Mickey mwenyewe! na umeconclude tayari.una uhakika gani kama anamtega, we are too judgemental kwama anamtega, what if atamrudishia pesa yake, Michael mwenyewe anasema siku bado hazijesha, na pia hana hiyana kufanya ya 'kumsaidia' dada mwenye duka isipokuwa anaogopea fedha zake.
Ndugu Michael ni mwoga, tena ni mwanaume mwenye kuendekeza umbea, na zaidi ya yote ni mbahili na anapenda vya bure.
Kwanza utamkopeshaje mke wa mtu pesa bila mumewe kujua? kiasi cha mwenye mke kutambua kuwa Michael alimkopesha bint pesa ni vurumai tosha achia mbali ku do nae.
Pili ndugu Michael ameshasema dada mwenye duka ni kifaa kinachoita, ina maana ameshamwanagalia kwa jicho la tatu na la nne na mimacho imeshaanza kumtoka kabla hata hayakopwa. Alijilengesha dada akamshtukia na akachukua hatua moja mbele ya kutafuta ukaribu kwa njia ya deni. Mteja akaingia line, dada akaona yes,, mambo iko huku akajilipua kwa kumwaga shida yake.
Hebu fikiria, ameshawaambia washkaji kuhusu huyu demu, halafu akauleta uzi huu duniani ili tumpe hongera kwa kukopesha mke wa mtu au kutamaniwa na mke wa mtu? Huu ni umbea kama si nataka sitaki.
Michael aseme anamtaka dada au hamtaki, hizo longo longo nyingine ni za kitoto.