Hiki ndicho alicho kipost msanii prezoo baada ya kumwagana na chaga barbie

Hiki ndicho alicho kipost msanii prezoo baada ya kumwagana na chaga barbie

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya Dada yetu kuamua kumwaga manyanga , kwa zilipendwa wake prezoo msanii kutoka Kenya,hiki ndicho alichoki post prezoo kwenye mtandao wake wa instagram..
 
Attachments

  • 1390225100534.jpg
    1390225100534.jpg
    51.3 KB · Views: 3,247
na miss chaga naye ameweka picha ya mwanaume mwenye kibamia ( uume mdogo)
akimponda prezzo kuwa ana Kibamia
 
Baada ya Dada yetu kuamua kumwaga manyanga , kwa zilipendwa wake prezoo msanii kutoka Kenya,hiki ndicho alichoki post prezoo kwenye mtandao wake wa instagram..

Useless thread, haina mashiko sidhani kama huu ndio uceleb!!
 
Safi sana prezizo mwenye kiranga halaliliwi wala kulaliwa matanga.....who's next
 
Nimeona diva na yeye ka post picha ya prezoo instagram, hakyamungu Dada yetu anajua kujipendekeza..
 
Huyu prezo naye ni sukari ya warembo ka domo eeeeh????
 
huyu Ndio mlisema ataolewa na prezoo....
 
Nauliza hivi, mojawapo ya sifa ya uceleb ni kuvuana sana ch.....pi?
 
huyu Ndio mlisema ataolewa na prezoo....

Jamaa anaonekana ana dharau sana, anajioja yeye ndo yeye ana superior personal disorder ni vigumu kuishi wa wadada wa mujini ambao hawapendi kuyumbishwa,labd mademu washamba ndo atawaburuxa
 
Huyu prezzo lazma ana tatzo..
Inawezekana ana kibamia kama msmavyo..
Haiwezekan kila demu anamuacha..
 
Mi nimeona kama wote wana akili za kitoto sana!!! kifupi ni washamba sana, mambo ya kizamani sana kutoleana siri za ndani kisa eti mmeachana kwani wao ndo wa kwanza kuachana?!!
 
mmh kwa kweli kuwa uyaone sio maghorofa ....... hapana ya walimwenguu lol!
 
Xaxa hapa kama zig zag wakati wanaturucha na maphoto wapo shopping US bidada alikuwa kakumbatiwa na hata thread moja nimeona katambulishwa kwa mathemegi.Now full vijembe mara kibamia mara cha wote hahahaha kweli uceleb kazi.
 
na miss chaga naye ameweka picha ya mwanaume mwenye kibamia ( uume mdogo)
akimponda prezzo kuwa ana Kibamia

Una utani na misschagaa ngoja akukutee huyo ni mdogo wake anaitwaa chaggababy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom