Huyu rais ana ndoto za kuja kuwa muimbaji mara baada ya kumaliza kipindi cha uongozi...anyway anakasauti kakuimba-imba!
Huyu rais ana ndoto za kuja kuwa muimbaji mara baada ya kumaliza kipindi cha uongozi...anyway anakasauti kakuimba-imba!
Hongera Rais kwa kuonyesha nia ya dhati kuwasaidia wasanii wa Tanzania.
Wasanii na nyie mbebeke sasa!
Tanzanians are still asleepGODLOVEME said:Kama uraisi ndio huu hata makamba anataka kuwa rais/cheap
Tafadhali ccMSALANI et al naomba unieleweshe huyo kijana wa kimarekani amekuja kusaidia vipi hawa wa sanii wa hapa Tanzania?
Huyo Mmarekani anajueje matatizo na challenges za usanii katika taifa maskini kama Tanzania? Unajua ingeleta maana zaidi kama angekuja Davido, P Square, Mafiki zolo kama nia haswa basi nikuwapa ushauri hawa wasanii wabongo.
Na kama swala ni ku advertise nchi sijui, unataka kuniambia huyu Terrence sijui anajulikana kuliko mlima kilimanjaro, serengeti na zanzibar?
Ni vipi hii inahalalisha utumiaji wa fedha zetu za kodi.
Nielewesheni naweza elewa!
Dah umenigusa sana..umeongea machache nazito sana..ni aibu sana mambo anayofanya muheshimiwa kweli kabisa huyu jamaa anasaidia nini sasa kwa kuja kwake tanzaniaSimfahamu Rais mwingine aneyafanya mambo ya ajabu Africa kama huyu Jamaa wa Msoga.
Kikwazo cha kwanza cha ukuaji wa hiyo tasnia ya filamu ni umasikini, watanzania hawana disposable income ya kununua kazi hizo.
Dah umenigusa sana..umeongea machache nazito sana..ni aibu sana mambo anayofanya muheshimiwa kweli kabisa huyu jamaa anasaidia nini sasa kwa kuja kwake tanzania
Nawe si popompo kama rais wako atuletee na Rihanna kabisa....Hongera Rais kwa kuonyesha nia ya dhati kuwasaidia wasanii wa Tanzania.
Wasanii na nyie mbebeke sasa!
Hongera Rais kwa kuonyesha nia ya dhati kuwasaidia wasanii wa Tanzania.
Wasanii na nyie mbebeke sasa!
Watanzania mkome kuchagua sura
watanzania hela ya kula tatizo, hao wasanii hata wafanyeje wataendelea kuwa maskini kama watanzania wakawaida kwa sababu hakuna kundi kubwa la kununua kazi zao, kipato hakuna cha kuwawezesha. Umaskini ndio tatizo sio wasanii.Hongera Rais kwa kuonyesha nia ya dhati kuwasaidia wasanii wa Tanzania.
Wasanii na nyie mbebeke sasa!
Sasa yeye afanyeje jamani?! Hawezi kukubalika na wengi, basi si hata awafurahishe wasanii aondoke wakimsifia?