Hiki ndicho alichokifanya Terrence J alipokanyaga ardhi ya Tanzania

Hiki ndicho alichokifanya Terrence J alipokanyaga ardhi ya Tanzania

Wanafunzi wa shule ya msingi Etaro wakiwa darasani.Shule hii ipo wilaya ya Musoma vijijini.JPG

Terrence atusaidie japo madawati 50 kwa watoto hawa !
 
Tafadhali ccMSALANI et al naomba unieleweshe huyo kijana wa kimarekani amekuja kusaidia vipi hawa wa sanii wa hapa Tanzania?

Huyo Mmarekani anajueje matatizo na challenges za usanii katika taifa maskini kama Tanzania? Unajua ingeleta maana zaidi kama angekuja Davido, P Square, Mafiki zolo kama nia haswa basi nikuwapa ushauri hawa wasanii wabongo.
Na kama swala ni ku advertise nchi sijui, unataka kuniambia huyu Terrence sijui anajulikana kuliko mlima kilimanjaro, serengeti na zanzibar?
Ni vipi hii inahalalisha utumiaji wa fedha zetu za kodi.
Nielewesheni naweza elewa!
 
Elimu kwa wasanii ipo shule tu!!!!
Wangejengewa chuo hawa wakasome na kujua mambo sio hizi "workshops" sijui hata kama zinafikia hiyo hadhi!!!!

Mengine mi nayaona kama hayana tija ya moja kwa moja wala endelevu!!!
 
Tafadhali ccMSALANI et al naomba unieleweshe huyo kijana wa kimarekani amekuja kusaidia vipi hawa wa sanii wa hapa Tanzania?

Huyo Mmarekani anajueje matatizo na challenges za usanii katika taifa maskini kama Tanzania? Unajua ingeleta maana zaidi kama angekuja Davido, P Square, Mafiki zolo kama nia haswa basi nikuwapa ushauri hawa wasanii wabongo.
Na kama swala ni ku advertise nchi sijui, unataka kuniambia huyu Terrence sijui anajulikana kuliko mlima kilimanjaro, serengeti na zanzibar?
Ni vipi hii inahalalisha utumiaji wa fedha zetu za kodi.
Nielewesheni naweza elewa!

Unaongea na chooo kabisa !
...wewe nawe ipo kazi
 
Simfahamu Rais mwingine aneyafanya mambo ya ajabu Africa kama huyu Jamaa wa Msoga.

Kikwazo cha kwanza cha ukuaji wa hiyo tasnia ya filamu ni umasikini, watanzania hawana disposable income ya kununua kazi hizo.
Dah umenigusa sana..umeongea machache nazito sana..ni aibu sana mambo anayofanya muheshimiwa kweli kabisa huyu jamaa anasaidia nini sasa kwa kuja kwake tanzania
 
Tangulini wacheza bao kutwa wakaongoza kwa mafanikio!!! Maji ni maji hayawezi kuwa Maziwa. Maeneo tunayozaliwa na kukulia yanaamua tutakuwa watu wa namna gani!! Huu ndio ukweli unless ukomboz ukujie.
 
Baadae akaenda zanzibar kula good time
 
Attachments

  • 1405407143658.jpg
    1405407143658.jpg
    81.1 KB · Views: 320
Dah umenigusa sana..umeongea machache nazito sana..ni aibu sana mambo anayofanya muheshimiwa kweli kabisa huyu jamaa anasaidia nini sasa kwa kuja kwake tanzania

Huyu Jamaa anakera sana, yaani wakati muda wake wa uongozi unakwisha ndo anaharibu zaidi, haonyeshi dalili zozote za kuboresha uongozi wake, yaani hata yeye mwenyewe hajifunzi kitu.
 
Hongera Rais kwa kuonyesha nia ya dhati kuwasaidia wasanii wa Tanzania.

Wasanii na nyie mbebeke sasa!
Nawe si popompo kama rais wako atuletee na Rihanna kabisa....
 
Soon atatuletea na 50 Cent si jamaa yake wa karibu,ili tuendelee kudonoa tu photo mwe!!
 
Hongera Rais kwa kuonyesha nia ya dhati kuwasaidia wasanii wa Tanzania.

Wasanii na nyie mbebeke sasa!
watanzania hela ya kula tatizo, hao wasanii hata wafanyeje wataendelea kuwa maskini kama watanzania wakawaida kwa sababu hakuna kundi kubwa la kununua kazi zao, kipato hakuna cha kuwawezesha. Umaskini ndio tatizo sio wasanii.
 
Back
Top Bottom