Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Zari aandika haya kwenye account yake ya Instagram baada ya Diamond Kukiri Hadharan mtoto wa Hamisa ni wa kwake.


 
na movie iendeleee...............
 
Hakika huyu ni mwanamke wa shoka..kifupi ameona asipoteze muda bora asonge mbele....
Diamond amebahatika kupata mwanamke mwenye akili sana daaa....! Tatizo sijui kama Diamond ana tambua alibahatika .....anatakiwa kufanya kazi ya ziada kurudisha imani ya Zari kwake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…