Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!

Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!

Umenikumbusha Harmorapa.

Host: Unajichukulia mtu wa aina gani?

Harmorapa: Mimi ni strong woman.

Host: Umesema?

Harmorapa: Yea, mimi ni strong woman.

Aliyasema kweli haya ama wanamsingizia, Nimecheka na kuongeza siku zangu za kuishi
 
Maelezo marefu hoja ni ipi unamuacha mondi au unaendelea mbele kwa mbele.
 
Huyu Kijana Wa Tandale Kwa nini hatafuti dogodogo saizi yake,yeye anasubiri wengine wazalishe wazee kisha na yeye apachike.Huyo Hamisa naambiwa ana Mtoto darasa LA 6
 
Hakika huyu ni mwanamke wa shoka..kifupi ameona asipoteze muda bora asonge mbele....
Diamond amebahatika kupata mwanamke mwenye akili sana daaa....! Tatizo sijui kama Diamond ana tambua alibahatika .....anatakiwa kufanya kazi ya ziada kurudisha imani ya Zari kwake...
Hana jinsi maana wapo kibiashara na usisahau huyu ni Mganda na kutokana na jina lako nadhani unawajua. Hawawezi kuachana ila Diamond nilivyomuona bado hajawa na ubavu, bado kinda na cha moto atakipata mwaka huu. Polygamy is about administration. Ukishindwa kuimanage jua yatakushinda tu mbele ya safari kama hukuokota makopo
 
Hivi hyo Mubeto asingetangaza kua ana mimba ya chibu...yeye chibu angekua tayar kumembia mkewe zar?? Na kuyasema haya hadharan??
 
Am such an early morning person as some can see on my snap, usually up by 5am. Let's start this day on a different note, shall we
Ladies and gentlemen I've heard you loud and clear, the advises, the consolation, the pity, the hurt you feeling on my behalf most of all the betrayal. But let's look at this on the positive side. When a person chooses to cheat on you it's not YOU actually its THEM which usually turns out that they played themselves while they thought they are playing you. You should never look down on yourself, don't ever think you are worthless because of another person's mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let's put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE!
 
TUSHAJITOA MUHANGA BANAA,WACHA MTOTO AKUE,HUKU KWA HAMISA TUMEHARIBU NA HUKO KWA ZARI LIKIHARIBIKA POA TU

MAANA NI MAKOSA YETU NA SI YA MTOTO,WACHA IWE HVYO TU,HATA SISI ROHO INAUMA ILA NDO MTOTO HUYOOO
 
Haka ka DIMBA KADOGO KANANYOTA KALI SANAAAA,MPAKA KUMETOKEZA NA KUJULIKANA AISEEE DAAAHHHH
 
MWISHO WA HAWA NI UKIMWI HUYU BIBIE ABAKI NA WATOTO asake ngawira akiwashwa anatafuta rijali anamkaza na condom bhaaaaaaaaaas
 
Back
Top Bottom