Umenikumbusha Harmorapa.
Host: Unajichukulia mtu wa aina gani?
Harmorapa: Mimi ni strong woman.
Host: Umesema?
Harmorapa: Yea, mimi ni strong woman.
Alisema, kuna video youtube.Aliyasema kweli haya ama wanamsingizia, Nimecheka na kuongeza siku zangu za kuishi
Hana jinsi maana wapo kibiashara na usisahau huyu ni Mganda na kutokana na jina lako nadhani unawajua. Hawawezi kuachana ila Diamond nilivyomuona bado hajawa na ubavu, bado kinda na cha moto atakipata mwaka huu. Polygamy is about administration. Ukishindwa kuimanage jua yatakushinda tu mbele ya safari kama hukuokota makopoHakika huyu ni mwanamke wa shoka..kifupi ameona asipoteze muda bora asonge mbele....
Diamond amebahatika kupata mwanamke mwenye akili sana daaa....! Tatizo sijui kama Diamond ana tambua alibahatika .....anatakiwa kufanya kazi ya ziada kurudisha imani ya Zari kwake...
Amalinze The Cat.....nakumbuka mbali sana[emoji1][emoji1][emoji1]Weka kwa kiswahili wengine kilugha hakipandi.