Uzi kama unaenda kuunganishwa hivi
Niko upande wa zari na wewe mtoa mada leta maubuyu yote
Am waiting for!!!!!!!!!...............Wait nipate muda ntaleta wa kutosha
Hii post imeshatumwa humu mleta mada. Imexpire 2 days back
Nimerudi tena nadhani unaona mwenyewe tupo wapi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi kama unaenda kuunganishwa hivi
Kichwaaaaaaaa tunaombeana mabaya uwiiiiii
Nimerudi tena nadhani unaona mwenyewe tupo wapi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah wameunganisha nyuzi jamanHahahahaa sawa tu. Naenda tafuta ubuyu mwingine