Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Sijaombea waachane but dai lazima apate cha mtema kuni.
Am with zari
Am with zari
Hasira za kimapenzi hizo! Subiri watarudiana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira za kimapenzi hizo! Subiri watarudiana tu
Nawashangaa sana wanaume wanaomlaumu Mondi. Kwanza Zari ndo atakosa pa kujishkiza ila muhuni Mondi bado damu inachemka sanasana ndo atagombaniwa na maduu kibao. Wengine wanasema eti ndo anapotea kwenye game wakati ndo kwanza kina Dj Khalid wanamtupia jicho ... Hebu tusubiri tuone
Nakubaliana nawewe hasa ambapo Dai hajakomaa kiume bado mvulana! Angalikuwa amekomaa kiume asingemwaga yote yale we are polygamist and the only tool we use is administration. Atabondwa koteSijaombea waachane but dai lazima apate cha mtema kuni.
Am with zari
Ndugu hujui nguvu za mwanamke hasa akikuzidi umri cc NumbisaNawashangaa sana wanaume wanaomlaumu Mondi. Kwanza Zari ndo atakosa pa kujishkiza ila muhuni Mondi bado damu inachemka sanasana ndo atagombaniwa na maduu kibao. Wengine wanasema eti ndo anapotea kwenye game wakati ndo kwanza kina Dj Khalid wanamtupia jicho ... Hebu tusubiri tuone
Hakuna kitu kama hicho wema na wapambe na nguvu zake zote plus ma ex wote wa diamond na wapambe wao wameshindwa kumshusha na dua zao aje kuwa zari huyu?Ndugu hujui nguvu za mwanamke hasa akikuzidi umri cc Numbisa
Hasira za kimapenzi hizo! Subiri watarudiana tu
Mchepuko na mwanamke uliyezaa naye huwezi kuwalinganisha. Aidha mwanamke unayeishi naye kama Zari na Dai ni wa kuogopwa ndo maana alisema nipo tayari kutembea kwa magoti toka Dar hadi Sauzi ili nimuombe msamaha. Hapo ndipo alimpa kichwa ZariHakuna kitu kama hicho wema na wapambe na nguvu zake zote plus ma ex wote wa diamond na wapambe wao wameshindwa kumshusha na dua zao aje kuwa zari huyu?
Umenena kweli! tumeyazoea hayo na uume ni kusolve kimya kimyaHahahahah
Inaonekana Wewe ni Bingwa wa 'Talaka rejea '
Hakuna kitu kama hicho wangapi wamezarishwa tena kwa ndoa kabisa wakaachana.Mchepuko na mwanamke uliyezaa naye huwezi kuwalinganisha. Aidha mwanamke unayeishi naye kama Zari na Dai ni wa kuogopwa ndo maana alisema nipo tayari kutembea kwa magoti toka Dar hadi Sauzi ili nimuombe msamaha. Hapo ndipo alimpa kichwa Zari
Hivi unaweza linganisha Zari na Mke wa Sugu! NasepaHakuna kitu kama hicho wangapi wamezarishwa tena kwa ndoa kabisa wakaachana.
Faiza alikuwa anaishi na sugu na wakazaa akapiga kelele lakini wapi sugu anasonfa tu.
Hizi kelele zitapita na atakayesahaulika ni zari maana diamond ndiye kampa umaarufu zari wala siyo zari kumpa umaarufu diamond.
Zari hana ubavu wa kumshusha mond. Umaarufu wa zari umetokana na mond zari nje ya mond hana umaarufu huo.Hivi unaweza linganisha Zari na Mke wa Sugu! Nasepa
Lugha tatizo no problem, hii thread ntaitumia kuwekea updates za ubuyu wote wa zari.