Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!

Halafu eti kuna wanawake wamefurahi kwa huu ujinga ,ila kweli wanawake tuna roho ya ajabu
 
ca0b0d5399caaf1804a30dc90e0a0445.jpg
 
Nawashangaa sana wanaume wanaomlaumu Mondi. Kwanza Zari ndo atakosa pa kujishkiza ila muhuni Mondi bado damu inachemka sanasana ndo atagombaniwa na maduu kibao. Wengine wanasema eti ndo anapotea kwenye game wakati ndo kwanza kina Dj Khalid wanamtupia jicho ... Hebu tusubiri tuone
 
Ny oko anaanzaje kukosa wakati mimi mwenyewe hendisamu boy namnyapia nyapia
 
Wasusa wenzio wala

Mjini ni patashika nguo kuchanika......ukiwa unaroho ndogo unaeza ghaili mapenzi.ndo maana si wa uswahilini we mind our own position.
Survival of the fittest
 
Back
Top Bottom