Hiki ndicho chanzo cha 'Kaunda Suit'

Ila umechapia hapo kwa Mwalimu kuasisi vazi lisilokuwa na kola. Hayo yalitokea China kwa akina Mao Tse Tung na Chou En Lai kama tulivyokuwa tunawaelewa. Asante.
 
Kweli kabisa! Umenikumbusha mbali. Ile ya Nyerere iliitwa Chou Enlai baada ya yule waziri kutoka China kuja na hill vazi na likadakwa na Nyerere.
 
Lile vazi lisilo na colar si aliiga kwa Mao wa China!!! au nakosea?

Yeah upo sawa,Marehemu Mao alilivaa na wacomunist wengine lilikuwa vazi lao,bila kumsahau marehemu Ngombale Mwiru.

Mumo mumo. Chun lai ya china
Umenikumbusha mbali sana zile suti ziliitwa Chun Lai ila kimsingi ni kushindwa kutamka jina la ZHOU ENLAI

Sio Mao kama wengi walivyosema huyo mwamba ndo alikua Premier wa kwanza enzi zile. Dah kweli tumezeeka
 
Asante Mkuu
 
Vazi lisilo na kola hakuasisi nyerere bali alikopi kwa wacommunist wa china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…